RAIS DKT. SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika Kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,wakati wa kikao cha uongozi wa Wizara hiyo,kilichofanyika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7BrfP04hkac/Xl69SpyqpPI/AAAAAAALgyM/X6uQnPtyr6oPO0gsvyRfqJDxcgaCjRbkQCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_9991-2048x1385.jpg)
DK,SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-7BrfP04hkac/Xl69SpyqpPI/AAAAAAALgyM/X6uQnPtyr6oPO0gsvyRfqJDxcgaCjRbkQCLcBGAsYHQ/s640/DSC_9991-2048x1385.jpg)
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iL7SqP7OdgE/Xkvg4zBjU2I/AAAAAAALd5A/camlm9b4bs0IrK5AHlQtMbLx--LOM3CZACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_94360.jpg)
RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA, MAJI NA NISHATI
![](https://1.bp.blogspot.com/-iL7SqP7OdgE/Xkvg4zBjU2I/AAAAAAALd5A/camlm9b4bs0IrK5AHlQtMbLx--LOM3CZACLcBGAsYHQ/s640/DSC_94360.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-m52vjRM9Qok/Xkvg_YfUEyI/AAAAAAALd5I/V7UyPiGObp8ko8jxnZPO_YE6mjcAgjTfQCLcBGAsYHQ/s640/DSC_94840.jpg)
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR
5 years ago
MichuziRAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ
5 years ago
MichuziRAIS DKT.SHEIN AFANYA MKUTANO NA UONGOZI WA WIZARA YA VIJANA,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
5 years ago
MichuziRAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI UWEZESHAJI WAZEE WANAWAKE NA WATOTO