Rais Kikwete aendelea na mazoezi Ikulu
![](http://4.bp.blogspot.com/-nonCHpGnfZo/VIL38NhqzvI/AAAAAAADPbs/dU41QZovUiU/s72-c/D92A56391.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi leo katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani.
(picha na Freddy Maro)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-MA1_ZFohI7c/VJgW4lraY4I/AAAAAAAAZho/geWMTtNN3d0/s640/D92A4124.jpg)
10 years ago
CloudsFM14 Nov
RAIS KIKWETE ATOKA WODINI, AENDELEA VIZURI
Rais Jakaya Kikwete ametoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye hoteli maalumu ambako ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.
Rais Kikwete alifanyiwa upasuaji wa tezi dume wiki iliyopita na afya yake imekuwa ikiimarika siku hadi siku.
Makundi mbalimbali ya wananchi yamekuwa yakimtakia uponaji wa haraka kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu. Miongoni mwa waliomtakia afya njema ni familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ambayo imeeleza kupokea kwa...
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Rais Kikwete akutana na mjumbe wa Rais wa Burundi Ikulu jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika na ujumbe wake kuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam April 29, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Sheikh Mohamed Rukara, ujumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, aliyeuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa...
10 years ago
Vijimambo03 Feb
Mhe. Rais Kikwete ampokea rasmi Rais Gauck-Ikulu
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa kampuni ya Viettel Group Ikulu Dar
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel Group ya nchini Vietnam Bwana Le Dang Dung ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro).
Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Juni 30, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya simu ya Viettel kutoka Vietnam ukiongozwa na Bwana Le Dang Dung ambaye ni Makamu wa Rais wa Kundi la makampuni ya Viettel...
9 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-Jac6XOpCQ8g/VkSPy-I5yNI/AAAAAAAIFds/kwff6srFcjM/s1600/jpJK%2B%25282%2529.jpg)
RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI IKULU NA RAIS MSTAAFU KIKWETE JANA
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Rais Kikwete amkaribisha Rais wa Ujerumani Joachim Gauck, Ikulu Jijini Dar Leo
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi Schadt leo.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimtambusha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliojitokeza kumpekea leo tarehe.03.02.2015 katika viwanja vya Ikulu.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakipata mapokezi kwa kuimbwa kwa nyimbo za taifa za mataifa hayo...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AMKARIBISHA RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK ,IKULU JIJINI DAR LEO
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QRVhD9DD-cQ/U5BQB929viI/AAAAAAAFn0o/LoyVxDeqocc/s72-c/sa6.jpg)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA AFRIKA KUSINI LEO IKULU DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-QRVhD9DD-cQ/U5BQB929viI/AAAAAAAFn0o/LoyVxDeqocc/s1600/sa6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-hey_g0jFtTE/U5BP7q20anI/AAAAAAAFn0g/_Sy95Ia9JI0/s1600/sa10.jpg)