Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete afungua mkutano wa Majaji Wanawake jijini Arusha leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro,Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimbaq wimbo wa taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais Kikwete. Baadhi ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuga yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.katika hotuba yake,Rais Kikwete ameitaka Mifuko ya Hifadhi za Jamii kuhakikisha inawafikia wananchi wengi ambao bado hajapata ufahamu mzuri wa umuhimu wa kujiwekea akiba. Rais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza

 Rais Kikwete akifungua Mkutano  wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza leo Seehemu ya washiriki wa Mkutano huo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza leo. Picha na Freddy Maro

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS WA PILI WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLI IDDI AHITIMISHA MKUTANO WA 12 WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI JIJINI ARUSHA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Mahakama ya Kimataifa Jaji Sanji Mmasenono Monageng Raia wa Jamuhuri ya Botswana akifurahia Tuzo Maalum aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani Jaji Eusebia Munuo kushoto yake kwenye Tafrija ya Wajumbe wa Mkutano huo iliyofanyika Mkoani Arusha.Pembeni yao kulia ni Mkurugenzi  Mkuu wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani    
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed...

 

11 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ahitimisha Mkutano wa 12 wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani jijini Arusha

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Mahakama ya Kimataifa Jaji Sanji Mmasenono Monageng Raia wa Jamuhuri ya Botswana akifurahia Tuzo Maalum aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani Jaji Eusebia Munuo kushoto yake kwenye Tafrija ya Wajumbe wa Mkutano huo iliyofanyika Mkoani Arusha.Pembeni yao kulia ni Mkurugenzi  Mkuu wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani      { IAWJ } anayefanya kazi zake  Makuu ya Chama hicho Mjini Washington Marekani Jaji J. Winship.  Jaji Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA UKANDA WA KATI JIJINI DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake katika mkutano wa Wadau wa Ukanda wa kati(alignment meeting on central corridor), alioufungua leo mchana katika ukumbi wa Mwl. Julius Nyerere. Mkutano huo wa wadau ni sehemu ya utekelezaji wa maamuzi ya Mkutano wa Jukwaa la Kiuchumi Duniani (World Economic Forum) iliofanyika Davos Uswiss Mwezi Januari 2014. Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akitoa hotuba kabla ya...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki

Rais Kikwete akifungua Mkutano wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Mwanza..Baadhi ya washiriki wa Mkuano huo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA JIJINI DAR LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake kwenye ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigawa rasimu ya katiba kwa viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA TANZANIA (TNBC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015..  Washiriki wa  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015.   Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watumishi wa  TNBC...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MFUMO WA TAKWIMU HURIA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wa Mkutano wa Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake Rais Kikwete alisema jukumu la utoaji wa taarifa kwa umma si kwa serikali pekee bali hata kwa Sekta binafsi pamoja na taasisi zingine zisizokuwa za serikali zinatakiwa kufuata mfumo huo ili kuleta maendeleo katika nchi husika. Mkutano huo ambao unaudhuriwa na mamia ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani