Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete akutana na Koffi Annan Geneva

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungmzo na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan mjini Geneva leo.Watau kushoto ni Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva Mh.Modesti Mero.Koffi Annan alikuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kati ya mwaka 1997 na 2006. Picha na Freddy MaroRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan mjini Geneva baada ya mazungumzo yao leo jijini Geneva

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Koffi Annan: Viongozi Afrika igeni mfano wa Hayati Nelson Mandela

Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan amesema umoja wa viongozi wa dunia waliokutanishwa na Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela utaendelea kufanya kazi yake ya kuhakikisha amani na usalama vinatawala dunia.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AELEKEA GENEVA LEO KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi.Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na makada wa CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete akutana na Watanzania waishio India-akutana na Wawekezaji

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania nchini India na familia zao jana muda mfupi baada ya kuzungumza nao katika hoteli ya Taj Mahal Palace jijini New Delhi India ambapo yuko kwa ziara ya kiserikali.Walioketi mbele kutoka kushoto ni baadhi ya mawaziri anaofuatana nao katika ziara hii.Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje Mahadhi Juma Maalim, watatu kushoto ni Waziri wa Maji Prof.Jumanne Maghembe,watatu kulia ni Waziri wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini leo ikulu jijini Dar es Salaam

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ikulu jijini Dar leo,Pia akutana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini,Mh. Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Mh.Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo.(picha na Freddy Maro).

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia

 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Namibia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi(kulia) na Benjamin William Mkapa(kushoto) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI KATIKA SHEREHE ZA UHURU WA MSUMBIJI

 Ndege zikipita na kuchora rangi za bendera za Msumbiji jana wakati wa maadhimisho ya miaka 40 ya Uhuru wa msumbiji jana. Askari wa Msumbiji wakishuka na mwavuli wakati wa sherehe za uhuru(picha na Freddy Maro).Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Malawi Profesa Peter Mutharika wakitoka katika uwanja wa michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji baada ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya uhuru wa Msumbiji jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani