Rais Kikwete akutana na Menejimenti ya Benki ya NBC Ikulu Dar leo
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga Melu (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo.
Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi Rukia Mtingwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni.

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimsindikiza Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
JK AKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA NBC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


11 years ago
Michuzi.jpg)
Menejiment ya NBC yakutana na Rais Kikwete Ikulu jijini dar leo
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ikulu jijini Dar leo,Pia akutana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund



11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA AFRIKA KUSINI LEO IKULU DAR ES SALAAM


11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA AFRIKA KUSINI LEO IKULU DAR ES SALAAM
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2014. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe alikuwepo pia. PICHA NA…
11 years ago
Michuzi.jpg)
Rais Kikwete akutana na Viongozi wa MEWATA leo Ikulu,jijini Dar
.jpg)
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE MAITE NKOANA-MASHABANE LEO IKULU DAR
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Maite Nkoana-Mashabane, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nvhi hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Maite Nkoana-Mashabane, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam leo.… ...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania