Rais Kikwete amemteua Masha Musomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Masha J. Musomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.
Uteuzi huo ulianza Alhamisi iliyopita, Januari 22, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Musomba alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF).
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM
25 Januari, 2015
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-TTtKFAbpvPo/VMSatJhR9GI/AAAAAAAAPXI/-udutcL-43o/s72-c/Masha%2BMshomba.jpg)
JK AMTEUA MASHA MSHOMBA MKURUGENZI MKUU WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-TTtKFAbpvPo/VMSatJhR9GI/AAAAAAAAPXI/-udutcL-43o/s640/Masha%2BMshomba.jpg)
9 years ago
Dewji Blog16 Aug
Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi kusimamia Haki ya Fidia kwa wafanyakazi
![](http://1.bp.blogspot.com/-oIQT1unmzzo/VdBzkYWQpFI/AAAAAAAAXv8/Qe-eB9mYhWo/s640/B3.jpg)
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Masha Mshomba, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya Mfuko huo barabara ya Bagamoyyo jijini Dar es Salaam, Agosti 16, 2015. Mfuko huo ulioanzishwa kwa sheria ya bunge namba 20 kifungu cha 5 ya mwaka 2008, una madhumuni ya kutoa fidia kwa Wafanyakazi kutokana na ulemavu au vifo viinavyosababishwa na ajali au magonjwa yatokanayo na kazi sambamba na kukuza mbinu za kuzuia matukio ya ajali, alisema. (Picha na...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Untitled1.jpg)
BODI YA WADHAMINI MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI YAZINDULIWA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nvQ3gcSvOTo/VeqNxya1ztI/AAAAAAAH2dA/vU3_rz7W0L8/s72-c/New%2BPicture.png)
UZINDUZI WA BODI YA WADHAMINI YA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-nvQ3gcSvOTo/VeqNxya1ztI/AAAAAAAH2dA/vU3_rz7W0L8/s320/New%2BPicture.png)
WCF ni Taasisi ya Serikali chini ya Wizara ya Kazi na Ajira iliyoundwa kwa Mujibu wa Kifungu cha 5 cha Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi Na. 20 ya mwaka 2008 ili kushughulikia masuala ya fidia kwa Wafanyakazi waliopo katika Sekta ya Umma na Binafsi Tanzania Bara ambao wataumia, kuugua au kufariki dunia wakiwa katika utekelezaji wa majukumu ya Mwajiri.
Mfuko wa Fidia kwa...
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
Rais Kikwete amemteua Dkt. Moses Kusiluka kuwa Kamishna Ardhi nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka (42) kuwa Kamishna Ardhi nchini.
Uteuzi huo ulianza Jumanne ya Desemba 23, mwaka huu, 2014.
Kabla ya uteuzi wake, Dkt. Kusiluka alikuwa Mkuu wa Idara ya Real Estate Finance and Investment katika Chuo Kikuu cha Ardhi, Dar Es Salaam, ambako amekuwa mhadhiri kwa miaka minane iliyopita, tokea 2006.
Dkt. Kusiluka ana Shahada ya Kwanza ya BSC (Land Management and Valuation) kutoka Chuo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFWQDPlKPHDgrFLiNDPOSFaT8MzEVKd-YywIb5SdQ0aykyus7TQ5pZqs*qmVArjweOxxSwb1*k9F936q86GuuaT3/jk.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WCF), wakutana na wahariri, Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-09OJehHiW3c/Va-eAnARGII/AAAAAAAAWgI/tvnhQZItQ9M/s640/Masha%2BMshomba_DGWCF4.jpg)
MKURUGENZI Mkuu wa kwanza wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, akiwasilisha mada wakati wa warsha iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa Wahariri kwenye Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam, Julai 22, 2015
Na K-VIS MEDIA
MFUKO wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), umekutana na Wahariri wa vyombo vya Habari nchini, kwenye Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam, Julai 22, 2015, kwa nia ya kujitambulisha na kuelezea mikakati yake ya kiutendaji na majukumu iliyo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-D4iCphaSuUg/Va-eBsSa1EI/AAAAAAAAWgQ/57YaYVF7Cqw/s72-c/Masha%2BMshomba_DG%2BWFC.jpg)
MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF), WAKUTANA NA WAHARIRI, DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-D4iCphaSuUg/Va-eBsSa1EI/AAAAAAAAWgQ/57YaYVF7Cqw/s640/Masha%2BMshomba_DG%2BWFC.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vhYz8IeQUPI/Va-eCLWrIVI/AAAAAAAAWgU/BMqu-H2F8HQ/s640/Irine%2BIsaka_DGSSRA2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-94b-TIiWNww/Va-eH5Z8NUI/AAAAAAAAWgo/v9Fl-UgF2Vg/s640/Shemax.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qplRbticTzk/Va-eJEbhTLI/AAAAAAAAWgw/bx81jeCAGXE/s640/Steven%2BChuwa_Scolastica%2BMazula.jpg)
10 years ago
Michuzi12 Feb