Rais Kikwete ateua makatibu
Rais Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa makatibu tawala wapya wa mikoa mitano na kuhamisha wengine, huku akiwateua makatibu wa wizara wawili kuwa makatibu tawala wa mikoa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATEUA MAKATIBU WKUU WANNE WAPYA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu Wakuu wanne wapya wa wizara mbalimbali. Aidha, Rais Kikwete amewateua Naibu Makatibu Wakuu wapya watano, amewateua Makatibu Tawala wa Mikoa wawili na pia amewahamisha Naibu Makatibu Wakuu wawili. Kwa mujibu wa uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Ndugu Hab Mkwizu kuwa...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, AHAMISHA SITA, WATATU WA ZAMANI AWAWEKA KIPORO, PIA ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE WAPYA WA WIZARA NA KUHAMISHA MMOJA.

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,STATE HOUSE,1 BARACK OBAMA ROAD,11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...
9 years ago
Michuzi30 Dec
9 years ago
Michuzi
NRWS ALERT: RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ATEUA MAKATIBU WAKUU, MANAIBU MAKATIBU WAKUU NA KAIMU NAIBU KAMISHNA TRA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII


10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, MAKATIBU WAKUU WANNE
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
Rais Magufuli ateua makatibu wakuu
5 years ago
Michuzi
Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu wawili na Mganga Mkuu wa Serikali


10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1. Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi – Ombeni Sefue
2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo
3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro
4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu –...