Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,kufuatia vifo vya watu 11 katika ajali ya basi
.bmp)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Paschal Mabiti,kuomboleza vifo vya watu 11 ambao wamepoteza maisha yao katika ajali ya basi iliyotokea mkoani humo Jumatatu, Aprili 21, 2014.
Katika salamu hizo, Rais Kikwete amesema kuwa ni jambo la kusikitisha kuwa ajali zabarabarani zinaendelea kuchukua maisha ya watu wasiokuwa na hatia.
“Nimepokea kwa huzuni nyingi taarifa ya ajali hiyo ambayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.bmp)
Rais Kikwete amtumia salamu za rambirambi mkuu wa mkoa wa arusha kufuatia vifo vya watu katika ajali iliyotokea jijini humo
.bmp)
“Nimeshtushwa na kusikitishwa sana kutokana na ajali hii mbaya ambayo kwa ghafla imeondoa uhai wa wenzetu 12 wasio na hatia kutokana na...
10 years ago
Michuzi04 Mar
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MKUU WA MKOA WA TABORA KUFUATIA AJALI ILIYOTOKEA HIVI KARIBUNI

Ajali hiyo iliyotokea katika Kijiji cha Mlogolo Wilayani Sikonge, ilihusisha basi la abiria la Kampuni ya Sabena lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza ambalo lililogongana uso kwa uso na basi lingine la...
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS WA CHINA KUFUATIA VIFO VYA WACHINA 400 KATIKA AJALI YA BOTI

Meli ya kitalii ya Eastern Star ilizama katika Mto wa Yangtze, karibu na mji wa Jianli, Jimbo la Kati la Hubei, Jumatatu usiku ikiwa na abiria 456 waliokuwa wanafanya safari ya...
11 years ago
CloudsFM01 Aug
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI AJALI YA BASI LA MORO BEST
Katika ajali hiyo, watu 13 walifariki katika eneo la ajali, na majeruhi wapatao 56 walifikishwa hospitalini. Kati ya majeruhi hao hadi sasa waliolazwa ni 30 na wengine wameruhusiwa baada ya kupata matibabu.
Rais amemuomba Dkt. Nchimbi kumfikishia...
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mheshimiwa Rajabu Rutengwe kuomboleza vifo vya watu 11 ambapo wengine kadhaa walijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 27 Novemba, 2014.
Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Mkanyageni Mkoani Tanga baada ya basi dogo aina ya Toyota Coaster Na. T 410 BJD iliyokuwa ikitoka Tanga Mjini kuelekea Lushoto kugongana na Lori aina ya Scania Na. T 605...
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA
11 years ago
Michuzi
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS JAKAYA M.KIKWETE NA WAZIRI WA UCHUKUZI MHE MWAKYEMBE NA MKUU WA MKOA WA MARA KWA AJALI MBAYA YA BASI ILIYOPOTEZA MAISHA YA WATANZANIA ZAIDI YA 40

Chama cha Ujenzi wa Taifa cha NRA ,(National Reconstruction Alliance); kinatoa salamu za pole/rambirambi kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe Jakaya Kikwete, Waziri za Uchukuzi, Mkuu wa mkoa wa Mara na Wafiwa kwa ajali mbaya ya Basi iliyopelekea kupotea kwa maisha ya watanzania zaidi ya 40, akiongea kwa njia ya simu akiwa katika ziara ya kikazi mkoani kigoma Naibu KATIBU MKUU NA KATIBU MKUU wa BODI ya chama Mhe Hassan Kisabya (pichani) , ametoa salamu hizo kwa niaba ya Chama...
10 years ago
Vijimambo09 Nov
JK atuma rambirambi kufuatia vifo vya watu 12

“Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko taarifa za vifo vya watu 12 waliopoteza maisha papo hapo na kusababisha simanzi kubwa kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki zao, huku taifa likipoteza nguvu kazi muhimu kwa maendeleo yake kutokana na ajali za barabarani,” alisema.
Aliwaomba wote waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo...