RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA KUSAGA KOKOTO PONGWE MSUNGURA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua mradi wa kusaga kokoto uliopo katika kijiji cha Pongwe Msungura Wilayani Bagamoyo leo. Kulia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi, Wapili kulia, ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga,wapili kushoto ni Balozi wa Uturuki nchini Mhe.Yasemin Eralp, watatu kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ANIT ASFALT Bwana Semih Yaran, na wanne kushoto ni Mkuu wa Mkoa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA KUSAGA KOTOTO PONGWE MSUNGURA
9 years ago
MichuziJK azindua Mradi wa Kusaga Kototo Pongwe Msungura, Bagamoyo mkoa wa Pwani
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME GESI ASILIA KINYEREZI
10 years ago
MichuziRais Kikwete azindua mradi wa ujenzi Nyumba za maafisa wa jeshi
Picha na Freddy Maro
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Rais Kikwete azindua mradi wa nyumba za gharama nafuu Mkuzo, Songea leo
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) na kupokelewa na Ndg. David Shambwe Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wakati alipokagua mradi huo uliopo katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma akiwa katika ziara yake ya kikazi leo, Rais Dr. Jakaya Kikwete anaendelea na ziara mkoani humo leo. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA KITENGO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA JAMII CHA NHC).
Akiwasalimia...
10 years ago
MichuziRais Kikwete azindua ujenzi wa Mradi wa Maji Lindi, awazawadia washindi Nanenane
11 years ago
MichuziRais Kikwete Ziarani Mkoa wa Tanga, azindua Mradi wa Maji Mkata, agawa madume bora ya ng'ombe handeni
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya madume bora ya ng’ombe na kasha kuwakabidhi baadhi ya wafugaji...
10 years ago
MichuziRais Kikwete azindua mradi mkubwa wa maji morogoro, awataka viongozi waache woga katika kusimamia sheria
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher wakifunua pazia kuzindua mradi huoRais Jakaya Mrisho Kikwete na...