Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Shein Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammed Javad Zarif alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana naoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammed Javad Zarif (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT Shein akutana na WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN Mohammed Javad Zarif

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya  Kiislamu ya Iran Mohammed Javad  Zarif alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akizungumza na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya  Kiislamu ya Iran Mohammed Javad  Zarif (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS - AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA IRAN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na kisha kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran, Mheshimiwa Javad Zarif na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam, Jumatano, Februari 4, 2015. PICHA NA IKULUTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITanzania imesema kuwa dhamira yake ya kufungua balozi katika baadhi ya nchi duniani iko pale pale na itatekeleza mpango wake huo kwa kadri hali ya fedha na uchumi inavyoruhusu.Aidha, Tanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Waziri wa mambo ya nje wa Iran

iran1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na kisha kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran, Mheshimiwa Javad Zarif na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam jana, Jumatano, Februari 4, 2015. (PICHA NA IKULU).

Tanzania imesema kuwa dhamira yake ya kufungua balozi katika baadhi ya nchi duniani iko pale pale na itatekeleza mpango wake huo kwa kadri hali ya fedha na uchumi inavyoruhusu.

Aidha, Tanzania imesema kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NJE UTURUKI AKUTANA NA RAIS DKT SHEIN LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi wa Uturuki Mhe,Ahmet Davutoglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar le akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA,PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya mazungumzo, kwenye makazi ya Waziri Mkuumjini Dodoma Machi 12, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano waJjamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya mazungumzo kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma Machi, 12, 2014. Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MWANDAMIZI WA MAMBO YA NDANI NA NJE WA SINGAPORE

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6, 2014. Waziri huyo na ujumbe wake yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Mei...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Ramtane Lamamra




Rais Dkt. John Pombe Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Mhe. Ramantane Lamamra Ikulu jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Freddy Maro)KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani