Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA SIERRA LEONE AMETANGAZA HALI YA TAHADHARI

Rais Ernest Bai Koroma. Rais wa Sierra Leone ametangaza hali ya tahadhari kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Rais Ernest Bai Koroma ametoa agizo maeneo yaliyokuwa yakwanza kuripoti ugonjwa huo yadhibitiwe ipasavyo na kutengwa. Rais Koroma aliagiza watu wasiruhusiwe kuingia au kutoka kwenye maeneo hayo chimbuko la mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Maafisa wa Usalama ndio waliopewa jukumu la kutekeleza maagizo hayo kwa ushirikiano...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Sierra Leone yatangaza hali ya tahadhari

Rais wa Sierra Leone ametangaza hali ya tahadhari ilikupambana na ugonjwa wa Ebola.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais wa Sierra Leone kujitenga baada ya mlinzi kuambukizwa virusi

Sierra Leone mpaka sasa ina wagonjwa 43 wa virusi vya corona.

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS AITAKA TMA KUTOA TAHADHARI ZA HALI YA HEWA KATIKA MAENEO MADOGOMADOGO NCHINI

Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Gharib Bilal akipata maelezo ya huduma za hali ya hewa majini kutoka kwa maafisa wa TMA Bi. Monica Mutoni (Afisa Uhusiano) na Bw. Daud Amasi (Meneja Kanda ya Kusini) kwenye maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani, mkoani Mtwara. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Halima Dendego (mwenye kofia)Baadhi ya wadau wa sekta ya bahari nchini wakipata elimu ya hali ya hewa katika maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani yaliyofanyika mkoani...

 

10 years ago

BBC

'Sierra Leone has become part of me'

Ex-Sierra Leone manager Johnny McKinstry, appointed at 27, recounts his departure from the Ebola-hit country.

 

12 years ago

BBC

Sierra Leone country profile

Provides an overview, basic information and key dates for this west African country

 

10 years ago

BBC

Sierra Leone in Ebola lockdown

The authorities in Sierra Leone are enforcing a three-day national lockdown to curb the spread of Ebola, except for short windows to pray.

 

9 years ago

BBCSwahili

WHO:Sierra Leone haina Ebola

Maelfu ya watu wa Sierra Leone wameteremka katika barabara za mji mkuu, Freetown, kusherehekea kuwa zimepita siku 42 bila ya mtu yeyote kuuguwa ugonjwa wa Ebola.

 

9 years ago

BBC

Zero new Ebola cases in Sierra Leone

For the first time since the Ebola outbreak was declared in Sierra Leone, the country has recorded zero new infections.

 

9 years ago

BBC

Sierra Leone to 'host' in Nigeria

Sierra Leone will 'host' their 2017 Africa Cup of Nations qualifier against Ivory Coast in Nigeria next month.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani