RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK ALIVYOWASILI NCHINI
Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiwa mwenye furaha mara baada ya kumpokea Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck na Mkewe Bibi Schadt (walioshika maua), uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLRAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK AWASILI NCHINI
10 years ago
MichuziRAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK AWASILI NCHINI USIKU HUU
10 years ago
MichuziRais wa Ujerumani, Mhe. Joachim Gauck kuwasili nchini kesho
Mhe. Rais Gauck atapokelewa rasmi na mwenyeji wake Mhe. Rais Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Februari, 2015 na atakagua Gwaride la Heshima na kupigiwa mizinga 21. Wananchi wanaombwa kuwa watulivu wakati mizinga hii ikipigwa kwani ni salama.
Baada ya mapokezi hayo,...
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Rais Kikwete amkaribisha Rais wa Ujerumani Joachim Gauck, Ikulu Jijini Dar Leo
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi Schadt leo.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimtambusha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliojitokeza kumpekea leo tarehe.03.02.2015 katika viwanja vya Ikulu.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakipata mapokezi kwa kuimbwa kwa nyimbo za taifa za mataifa hayo...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AMKARIBISHA RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK ,IKULU JIJINI DAR LEO
10 years ago
Habarileo06 Feb
Barabara zote za ndani kukarabatiwa Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akiwa na mwenyeji wake, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Mfuko wa Barabara Zanzibar umedhamiria kuzifanyia ukarabati barabara za ndani katika majimbo ya uchaguzi Unguja na Pemba ili kurahisisha huduma za usafiri.
10 years ago
AllAfrica.Com09 Feb
The President of the Federal Republic of Germany HE Joachim Gauck Visits ...
The President of the Federal Republic of Germany HE Joachim Gauck Visits ...
AllAfrica.com
Arusha — The President of the Federal Republic of Germany His Excellency Joachim Gauck paid a working visit to the EAC Headquarters (today) and addressed a large gathering comprising of members of staff of the EAC Organs and Institutions, civil society ...
German President Not 'Lecturing' in TanzaniaDeutsche Welle
all 2
10 years ago
VijimamboDk Shein Akiwa na Mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe Joachim Ikulu Zanzibar
10 years ago
MichuziRais wa Shirikisho la Ujerumani Bwana Joachik Gauck kuwasili zanzibar kwa boti asubuhi hii