RECHO AANGUA KILIO BAADA YA KUZUIWA KUMTUZA DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTHSLs3ZmcKgyvxgSit3MuuDGvhvCEeVXOhMcZAwGYKIUpUXHosye1na9pccQHZImnVQBZLCWoya51lkycx-6KXZ/1yuyuyu.jpg)
Musa Mateja MREMBO mwenye sauti nyororo kutoka Jumba la Kukuza Vipaji Tanzania (THT), Winifrida Josephat ‘Recho Mapenzi,’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio baada ya kuzuiwa kupanda kwenye jukwaa kwa ajili ya kumtunza Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz.’ Mrembo mwenye sauti nyororo kutoka Jumba la Kukuza Vipaji Tanzania (THT), Winifrida Josephat ‘Recho Mapenzi. Tukio hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Diamond aangua kilio ukumbini!
Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia.
Musa mateja
SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda, twende na Ijumaa Wikienda.
Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini Dar ambapo nyota huyo alikuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08csrO-cNezDBmuzYeaUGSQ1fMJDimb1hQJhyCjIXO4J*g1-Vvd9PESeKa1ycIai4QcM31rxRKDV22*lIMZOLMi25/wema.jpg)
WEMA AANGUA KILIO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LsR20rl7c1olsWvcDTrY65QOPCI2T5XjMW71oN7J-W2IzfX1zmsUbwfayEeH-svrHD0iyD-ZQKbtmmiGEL-*A*c/Shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA AANGUA KILIO UWANJANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwmwZdZoPR3Zeg7wuPGV4pCaxcoYDVh0KTlCWcUbDpB1*5Q7Br9D*lGCmCMjJU6Y2Rxve2cUd9dvvFPgyJ81qsXu/MAINDA.jpg?width=650)
MAINDA AANGUA KILIO KANISANI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U-QNuL7WAxmQMls22R4tr*nXUdo15BMlONmeH2vvuHMPtxIwl7xnvxr-OXvKY3mFilbHV8WkFgnMIbVWsazNgO51e85Aaod9/IMG20150914WA0002.jpg?width=650)
PENNY AANGUA KILIO BSS
9 years ago
Bongo Movies26 Aug
Ray Aangua Kilio Ukumbini!
BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kulipokuwa na fainali za Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo washiriki 10 ndiyo walikuwa wakiwania kitita cha shilingi milioni 50.
Mara baada ya mshindi...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pezQEPsid2gbW2uKNva7UdYsnIeYKwGMFH6pXR*zKZMlFsATJnkQGQ4QMXmEd1ww0uGkETWx152QLVxRuxZ5PqUn5CR4uYHX/bibi.jpg?width=650)
BIBI AANGUA KILIO MBELE YA MAGUFULI!
10 years ago
GPLKIGOGO CCM AANGUA KILIO HADHARANI!
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mke wa Cheka aangua kilio kortini