Reggae Time ya Pride Fm. Leo, Jumamosi Julai 18, 2015

Mubelwa Bandio.......Mtayarishaji na Mtangazaji wa Reggae Time ya Pride FmKutoka Studio 3 hapa Maryland U.S.A...Reggae Time ya leo imegusia haya...
Imani kiduchu imeguswa. Si ni Eid?
Lakini pia......
Nini tufanye tunapokuwa kwenye sherehe kama hizi, na wenzetu wana majonzi ama huzuni ama wamekata tamaa?
Wasanii wa Reggae wameimba lolote kuhusu hilo?
KARIBU
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Reggae Time ya Pride FM....Jumamosi June 13, 2015

Na inaadhimishwa kwa mara ya kwanza tangu UN iitangaze (Nov 18 2014)
Katika sehemu ya kwanza ya kipindi, nimezungumza na Babu Sikare, mwanaharakati mTanzania aishiye hapa USA aliyeshiriki mchakato wa miaka kadhaa kupigania siku hii.
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii...
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Reggae Time ya PRIDE FM... Jumamosi April 25 2015

Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba

10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Reggae Time ya PRIDE FM.... Echoes of My Mind (Jumamosi ya Mei 2, 2015)

Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
10 years ago
Vijimambo
Leo katika Reggae Time ya Pride Fm [April 11 2015]

Photo Credits: TheHill.com Wiki hii, Rais Barack Obama alifanya ziara nchini Jamaica. Na usiku aliotua nchini humo, alielekea kwenye makumbusho ya Bob Marley.
Haya ni kati ya yaliyojumuishwa leo kwenye kipindi cha Reggae Time ya Pride FM, Mtwara Tanzania
KARIBU
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri...
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Reggae Time cha PRIDE FM.....Jumamosi Feb 21, 2015

Katika kipindi kilichomalizika leo, Februari 21, 2015 tumezungumzia kuhusu MAISHA.
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Reggae Time cha PRIDE FM.....Jumamosi Feb 14, 2015

Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Katika kipindi kilichomalizika leo, Februari 14, 2015 tumezungumzia kuhusu siku ya wapendanao na kusikiliza nyimbo zilizogusia mahusiano kwa namna zote.
Karibu uungane nasi
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada...
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Reggae Time cha PRIDE FM.....Jumamosi Feb 7, 2015

Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Katika kipindi kilichomalizika leo, Februari 7, 2015 tumezungumzia kuhusu historia ya Hayati BOB MARLEY. Msanii maarufu zaidi wa Reggae duniani, ambaye siku ya jana ulimwengu ulikumbuka miaka 70 tangu kuzaliwa kwake
Karibu uungane nasi
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti...
10 years ago
Vijimambo
Reggae Time ya Pride FM.........May 16 2015

Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba

10 years ago
Vijimambo
Reggae Time ya Pride Fm..........May 23 2015