Reggae Time ya Pride FM.........FATHER'S DAY June 20 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-FZmAycJGlDM/VYW4Ln-RliI/AAAAAAAAI0g/9_ciooexOGY/s72-c/fathers-day.jpg)
Photo Credits: Visit Quad Cities Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
KARIBU
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania