REKODI YA M'BRAZIL 'ROBERTO FIRMINO' ALIYETUA LIVERPOOL KWA DAU LA PAUNDI MILLION 29
![](http://3.bp.blogspot.com/-qfhtUxCY72M/VYrUcRi-n7I/AAAAAAAACO4/IRXLQsxP54U/s72-c/Roberto-Firmino-009.jpg)
Klabu ya Liverpool imefuta ndoto za wapinzani wao Manchester United baada ya kufanikiwa kumsajili mshambuliaji kutoka Brazil Roberto Firmino aliyekuwa akikipiga katika klabu ya Hoffenheim kwa mkataba wa miaka mitano.
Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole...
africanjam.com