Rich Mavoko kunogesha shoo ya Instagram Party Zanzibar
Na Andrew Chale
MSANII nyota nchini, Richard Martin maarufu Rich Mavoko anatarajiwa kutumbuiza kwenye shoo kali na ya aina yake ya Instagram Party Zanzibar itayofanyika ndani ya Zanzibar Beach hotel, Novemba Mosi mwaka huu.
Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo kampuni ya Bond Entertainment, kupitia kwa msemaji wa kampuni hiyo Mackson Madoro alieleza kuwa kila kitu kipo sawa kwa ajili ya tukio hilo ambapo mpaka sasa wadau na wapenzi wa burudani wakiwemo wa ndani na nje ya Visiwa hivyo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-iJ-ryte4Cw0/VEnCHer6m8I/AAAAAAADKd8/PL6etoiaKFc/s72-c/Mavoko.jpg)
Rich Mavoko kunogesha shoo ya Instagram Part Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-iJ-ryte4Cw0/VEnCHer6m8I/AAAAAAADKd8/PL6etoiaKFc/s1600/Mavoko.jpg)
MSANII nyota nchini, Richard Martin maalufu Rich Mavoko anatarajiwa kutumbuiza kwenye shoo kali na ya aina yake ya Instagram Part Zanzibar itayofanyika ndani ya Zanzibar Beach hotel, Novemba Mosi mwaka huu.
Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo kampuni ya Bond Entertainment, kupitia kwa msemaji wa kampuni hiyo Mackson Madoro alieleza kuwa kila kitu kipo sawa kwa ajili ya tukio hilo ambayo mpaka sasa wadau na wapenzi wa burudani wakiwemo wa ndani na nje ya Visiwa hivyo...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Rich Mavoko aeleza ya moyoni
MSANII wa Bongo fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ amewataka wasanii wenzake wawe na moyo wa kuwakumbuka wenzao waliotangulia mbele za haki hata kwa kuwatembelea wazazi au ndugu zao waliopo duniani....
11 years ago
Bongo515 Jul
New Music: Rich Mavoko — Tururu
9 years ago
Bongo525 Nov
Music: Rich Mavoko – Naimani
![Rich-Mavoko-Naimani](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Rich-Mavoko-Naimani-300x194.jpg)
Wimbo mpya wa msanii wa bongo fleva Rich Mavoko unaitwa “Naimani”. Producer Boy David & Aby Dad
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9JlF4F0jf30/VXgJ_PduJ7I/AAAAAAAHeQo/EDI9VRslWyY/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzdpOwsCUUmi9b5MSXlnNsJl4Ku9Bjj8NUS*l92*lzuzib05dyMEKRNkNfEh3WmS*Gj6Gtgy7aZezOlC4vIg3lyw/RichMavokoPR.png)
11 years ago
GPL16 May
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Rich Mavoko: Ring-tone ni unyonyaji
NYOTA anayefanya vema katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Richard Mavoko ‘Rich Mavoko’, amesema haoni umuhimu wa kuweka nyimbo zake kwenye mfumo wa ‘ring-tone’ wa mitandao ya simu....
9 years ago
Bongo517 Sep
Music: Princet Ft Rich Mavoko — Tonight