Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani arudisha fomu kuwania ubunge

MBWEMBWE na tambo za shamra shamra mbalimbali zimetokea jana katika ofisi za Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Chalinze baada ya wagombea kurudisha fomu za kugombea ubunge. Majira ya saa tano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI ARUDISHA FOMU ZA UBUNGE CHALINZE

 MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete leo amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi, akisindikizwa na washindani wake katika kura za maoni, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhan Maneno pamoja na Imani Madega.   Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete akiwa ameambatana na  washindani wake katika kura za maoni, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma,...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS CHADEMA

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa  Abdallah Safari (kushoto)  akipokea fomu kutoka kwa Waziri Mkuu wa Zamani,  Edward Lowassa. Ester Bulaya (wa kwanza kushoto waliovaa fulana) akiwa ukumbini kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama. PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA ===>…

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA

 Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia maelfu ya wafuasi na wapenzi wa Chama hicho, wakati alipowasili kwenye Ofisi ya Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Mh. Lowassa alifika ofisini hapo kurudisha fomu za kuomba ridhaa ya Chama hicho, kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
  Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MUSLIM ARUDISHA FOMU YA UBUNGE, MAKUNGU AJIUNGA NA CHADEMA

Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Hassanali akirudisha fomu  kwa Mratibu wa Kanda ya Pwani, Casimir Juma Mabina  za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema katika uchaguzi mkuu ujao. Kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Mabere Marando. (Picha na Francis Dande)Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Mabere Marando (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM tawi la Kigamboni Wilaya ya...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ARUDISHA FOMU YA KUWANIA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI JIMBO LA MAHONDA

Vijana wa Umoja wa Mapiki piki Wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B” wakimsindikiza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akirehesha fomu za kuwania kugombea uwakilishi Jimbo la Mahonda.Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi Fomu za kuwania kugombea Ujumbe wa Baraza la Wawakilushi Jimbo la Mahonda kwa Afisa wa Uchaguzi Wilaya ya Kaskazini “B” Nd. Makame Pandu Khamis ofisi ya Tume hiyo iliyopo Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Jimbo la...

 

10 years ago

Michuzi

QS Muhonda arudisha Fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

 QS J Muhonda ambaye ambaye anasimamia kazi za wasanii kupitia kampuni yake ya QS leo alikua akirudisha Fomu ya Kuomba kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
QS amesema kuwa ameamua kuchukua fomu na kugombea nafasi hiyo ili kuleta maendeleo ya jimbo hilo na pia anauwezo na ufanisi mkubwa wa kuleta maendeleo katika jimbo hilo la Kinondoni, Lakini pia una ushawishi mkubwa kwa vijana ambao ni taifa la leo kuwafanya kuwa nguvu kazi ya Taifa hususan vijana wengi wa kinondoni ambao hawana ajira...

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA DAUDI BABU MRINDOKO ARUDISHA FOMU ZA UBUNGE MOSHI MJINI

Kijana Daudi Babu Mrindoko aliyeshawishiwa kugombea ubunge na wakazi wa Moshi Mjini,merudisha Fomu Leo tarehe 18/07/2015 saa 10:00 jioni na kupokelewa na Katibu wa Chama CCM Wilaya ya Moshi mjini -Ndugu.Loth Ole-Nesele. Wananchi wa jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro mwanzoni mwa mwaka 2015 walianza kumshawishi kijana Daudi Babu Mrindoko kuchukua fomu za kugombea ubunge wa jimbo la Moshi-Mjini,Wananchi jimboni Moshi-Mjini wanaamini kabisa kuwa pendekezo lao la mgombea Daudi Mrindoko...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Samia Suluhu arudisha Fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo

Kina Mama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimsindikiza Mjumbe wa Bunge Hilo na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bi. Samia Suluhu Hassan(Aliyenyanyua fomu)kurudisha fomu kwa Katibu wa Bunge Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Thomas Kashilila akitoa maelekezo kwa wapambe wa mgombea Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba kabla ya kupokea Fomu hizo Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. Mjumbe wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani