Rogert Hegga 'Katapila' ajiunga na Mashujaa Band 'Wana Kibega'
![](http://2.bp.blogspot.com/-r4skCP3Hu1w/VRAv3wwTnJI/AAAAAAAHMfk/igAjEBrcVlo/s72-c/unnamed.jpg)
BENDI ya muziki wa dansi hapa nchini,Mashujaa Band 'Wana Kibega' leo imemtangaza Aliyekuwa mwanamuziki na mtunzi wa bendi ya Ruvu Stars, Rogert Hegga 'Katapila' kujiunga rasmi katika bendi hiyo.
Mkurugenzi wa bendi ya Mashujaa, Maximilian Luhanga, alisema kuwa Hegga amejiunga rasmi na bendi hiyo na watamtambulisha katika onyesho maalumu litakalofanyika Aprili 5.
Luhanga alisema kwamba kujiunga kwa msanii huyo ni moja ya mikakati ya kuiimarisha Mashujaa ili iweze kuwa bendi bora hapa...
Michuzi