Ronaldo anaishi maisha ya 'upweke'
Mtayarishi wa sinema inayoangazia maisha ya mwanakandanda wa Real Madrid Cristiano Ronaldo anasema kuwa nyota huyo ni mpweke mno.
BBCSwahili
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania