Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RPC Tabora amkingia kifua mtuhumiwa

HATMA ya Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga mkoani Tabora, SP Edson Mfuru anayedaiwa kumuachia mtuhumiwa Magata Singu anayetuhumiwa kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa 14...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Maximo amkingia kifua Jaja

Marcio Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amemkingia kifua mchezaji wake, Mbrazil Genilson Santos ‘Jaja’ kwa kuwataka mashabiki wasitegemee vitu vingi kutoka kwa wachezaji warefu kwani wana vitu vichache vyenye mafanikio.

Maximo aliyasema hayo juzi baada ya mechi yao ya kirafiki dhidi ya Thika United ya nchini Kenya iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lilofungwa na Jaja,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndesamburo amkingia kifua Lowassa

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionekana kutikiswa na ushawishi wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, wa kutaka kutimiza safari yake ya kuwapatia Watanzania elimu bure, Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon...

 

9 years ago

Mtanzania

Zidane amkingia kifua Benzema Ufaransa

000_119461254-1MADRID, HISPANIA

NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane, amekitaka Chama cha soka nchini humo (FFF), kulitupilia mbali suala la Karim Benzema la kashfa ya kumiliki mkanda wa ngono.

Chama hicho kwa kushirikiana na waziri wa michezo nchini humo, walisema wanaendelea na uchunguzi ili kuhakikisha kama kweli mchezaji huyo anahusika katika vitendo hivyo na kama anahusika anatakiwa kufungiwa maisha kuitumikia timu hiyo ya taifa.

Ufaransa watakuwa...

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA KANISA AMKINGIA KIFUA JOKATE

KIONGOZI wa kwanya katika Kanisa la St. Peter, Oysterbay jijini Dar, Rogers Mgonja amemtetea mwanamitindo mahiri Bongo, Jokate Mwegelo kuwa hajalikacha kanisa kama inavyodaiwa. Mwanamitindo mahiri Bongo, Jokate Mwegelo Hivi karibuni ziliibuka taarifa kuwa, Jokate amezuiwa kutinga kanisani hapo kutokana na kuvaa mavazi ya nusu utupu yasiyoendana na maadili.… ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Aunty Ezekiel Amkingia Kifua Iyobo

KUFUATIA kuwepo kwa madai na minong’ono mingi ya msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kumzidi umri mzazi mwenzake, Moses Iyobo, muigizaji huyo ‘amewaka’ na kuwataka watu wasiingilie uhusiano wao na kwamba suala la umri kwao ni namba tu.

‘Akibananishwa ukutani’ na mwandishi wetu kwa maswali magumu hivi karibuni, Aunt alisema amekuwa akiumizwa na maneno yanayoendelea juu ya kumzidi umri Iyobo, na kusema hayuko tayari kuona uhusiano huo ukivunjwa kwa maneno ya aliowaita “wakosa kazi”.

“Kwani...

 

9 years ago

GPL

AUNTY EZEKIEL AMKINGIA KIFUA IYOBO

Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa na mzazi mwenzake Moze Iyobo. Stori: brighton masalu
KUFUATIA kuwepo kwa madai na minong’ono mingi ya msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kumzidi umri mzazi mwenzake, Moses Iyobo, muigizaji huyo ‘amewaka’ na kuwataka watu wasiingilie uhusiano wao na kwamba suala la umri kwao ni namba tu. ‘Akibananishwa ukutani’ na mwandishi wetu kwa maswali magumu hivi...

 

10 years ago

Mwananchi

Amri Said amkingia kifua kocha Phiri

Beki wa zamani wa Simba, Amri Said amewataka mashabiki na viongozi wa timu hiyo kumpa muda wa kutosha kocha Patrick Phiri kwani anaamini kuwa timu hiyo ina nafasi bado ya kutwaa ubingwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Pluijm amkingia kifua beki Mtogo

Kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm amesema uwapo wa beki Mtogo, Vincent Bossou ni mipango yake ya muda mrefu na suala la kwamba  anapata nafasi kikosi cha kwanza mapema ama baadaye siyo la lazima sasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Kerr amkingia kifua Kiongera

Dylan Kerr amewataka mashabiki wa timu hiyo kumpa muda mshambuliaji wake, Raphael Kiongera  kutokana na kiwango alichokionyesha katika mechi dhidi ya Toto Africans.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani