Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rucky Baby kaja na video ya wimbo ‘Give me some’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa…

Msanii wa Bongo Fleva, Ruck Baby time hii kaja na video ya single yake mpya iitwayo Give me some unaweza ukabonyeza play kuitazama hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na […]

The post Rucky Baby kaja na video ya wimbo ‘Give me some’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa… appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Fabolous kaja na video ya wimbo ‘She wildin’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa.

Rapper kutoka Marekani, Fabolous time hii ametusogezea hii video mpya ya single yake aliyomshirikisha Chris Brown iiwayo She Wildin, mtu wangu kama hukubahatika kukutana nayo basi karibu uitazame hapa chini mtu wangu.   Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu […]

The post Fabolous kaja na video ya wimbo ‘She wildin’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa. appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Rucky Beby – Give Me Some More

Rucky-Beby

Hii ni video mpya ya msanii mpya wakike anaitwa Rucky Beby wimbo unaitwa “Give Me Some More”. Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Rucky Beby — Give Me Some More

Rucky Beby

Msanii Mpya wa kike anaitwa Rucky Beby ameachia wimbo mpya unaitwa “Give Me Some More”. Producer Aloneym

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

9 years ago

MillardAyo

Mabibi na Mabwana Prezzo katuletea hii video mpya ‘Mrembo’ itazame hapa….(+Video)

Rapper kutokea 254, Prezzo time hii ametuletea hii video yake mpya ya single iitwayo ‘Mrembo’ itazame hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram […]

The post Mabibi na Mabwana Prezzo katuletea hii video mpya ‘Mrembo’ itazame hapa….(+Video) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Chris Brown kaja na mzigo mwingine, dakika zako tatu kuupitia hapa.. -‘Back to Sleep’ (+Video)

Zikiwa zimebaki siku chache kufikia uzinduzi wa album yake mpya, Royalty staa wa muziki wa R&B, Chris Brown amerudi kwa mara nyingine wiki hii na ujio wa mzigo wa latest single yake ‘Back to sleep’. Official countdown kuelekea uzinduzi wa album ya saba ya Chris imeanza rasmi huku tukihesabu siku 4 kufikia tarehe 18 December 2015, […]

The post Chris Brown kaja na mzigo mwingine, dakika zako tatu kuupitia hapa.. -‘Back to Sleep’ (+Video) appeared first on...

 

5 years ago

BBCSwahili

Unaweza kuelezea vipi uhalifu kama ubaguzi wa rangi?

Mzozo kuhusu matamshi ya rais wa mwisho mzungu wa Afrika Kusini, yatonesha vidonda vya ukoloni

 

11 years ago

GPL

HATA KAMA YUKO MBALI, UNAWEZA KUWA KARIBU NAYE! - 3

TUNAENDELEA kujifunza mbinu za kumsogeza mwenzi wako karibu. Tumeshaona mengi katika matoleo yaliyopita. Rafiki zangu, wakati mwingine majukumu ya kikazi husababisha wenzi au wanandoa wakaa mbalimbali. Jambo hilo huwa changamoto kubwa sana kwa wengi, hushindwa kujua namna ya kuboresha uhusiano wao ili waweze kuendelea kuwa na uhusiano wenye nguvu. Katika matoleo yaliyopita tuliona jinsi mwanamke anavyoweza kufanya kwa mwanaume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani