Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA - 4

Baada ya wiki iliyopita kuelezea mambo kadhaa yanayosababisha wanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa, leo nitaelezea tatizo la kuwahi kufika kileleni Katika vitu ambavyo wanaume wengi hawapendi vijulikane na wenzi wao ni tatizo la kuwahi kufika kileleni. Kila mwanaume hupenda aonekane ni rijali au mwanaume kamili mwenye uwezo wa kushiriki tendo la ndoa bila shida yoyote. Na imezoeleka katika jamii zetu ikiwa mwanaume atakuwa ana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA-3

Mpenzi msomaji, leo naendelea kuelezea mambo yanayowafanya wanaume wakose hamu ya tendo la ndoa. Tumeshaona kwamba upungufu wa homoni inayoitwa Testosterone unasababisha kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Matatizo mengine katika mfumo wa homoni huchangia tatizo hili. Kama Thyroid haitoi homoni za kutosha, tatizo hili huweza kutokea ingawa mchango wa Thyroid katika tatizo hili ni mdogo sana. Thyroid ni kiungo cha kuzalisha...

 

10 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA-2

Pamoja na kwamba tatizo hili halijitokezi sana kwa wanaume ukilinganisha na wanawake, inakadiriwa kuwa asilimia 15 hadi 16 ya wanaume wana tatizo hili, ni sawa na uwiano wa mwanaume mmoja mwenye tatizo hili katika kila wanaume sita au saba. Idadi ya wanawake wenye tatizo hili ni mara mbili ya wanaume.  Tatizo hili huwakera zaidi wanaume kuliko wanawake kwa sababu wanaume huchukulia urijali kama sehemu ya ukamilifu wao na...

 

10 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

Natumai utakuwa u mzima wa afya kabisa. Kama ilivyo matatizo mengine tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa sana kama ilivyo kwa wanawake.
Katika makala haya tutaaangalia kwa kina sababu za tatizo hili kwa wanaume na athari zake na mwisho tutajifunza njia za kutatua au kuondokana na tatizo hili. Mwili wa mwanadamu uliumbwa ukiwa na matamanio na si mbaya kama...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

Natumai muwazima wa afya. Leo katika mada yangu hii, nataka kuzungumzia zaidi sababu za wanaume wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa. Kama ilivyo matatizo mengine, tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa kama ilivyo kwa wanawake. Katika makala haya, tutaangalia kwa kina sababu za tatizo hili kwa wanaume na athari zake. Mwili wa mwanadamu uliumbwa na matamanio na si...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA - 5

Msomaji wetu tunaendelea na mada yetu kuhusiana na sababu zinazowafanya baadhi ya wanaume kutokuwa na hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Virutubisho ndani ya vyakula ambavyo vinasaidia hali hiyo ni Antioxidants, vitamin C, vitamin E, Potassium na zinc. Kirutubisho cha zinc kinaongeza mbegu kwa mwanaume (sperm count) hivyo humsaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula vyovyote vyenye virutubisho hivi vikiliwa humfanya...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-5

Natumaini utakuwa u-mzima wa afya kabisa. Kwa wiki kama nne mfululizo tumekuwa tukiangalia juu ya tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia sababu za tatizo hilo na tukaangalia athari zake na wiki iliyopita na kujifunza njia za kutatua tatizo hilo. Kama ilivyo matatizo mengine tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa sana kama...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-4

Tumekuwa tukiangalia tatizo la wanawake wengi kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia jinsi tatizo hili linavyoisumbua jamii yetu pia tumejua kuwa mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa si jambo la kawaida ni tatizo linaloweza kutibika. Zifuatazo ni njia za kuondoa tatizo hilo. Wengi wanatarajia kuambiwa wameze dawa fulani ili kuondokana na tatizo hilo. Ukweli ni kwamba ili mtu kurejea katika hali ya kawaida. Kama...

 

10 years ago

GPL

UFANYEJE MWENZI WAKO ANAPOKOSA HAMU YA TENDO?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa kona hii mahususi kwa ajili ya wapendanao, ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaendelea fresh na majukumu ya kila siku. Ni wiki nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu, kujadili mambo mbalimbali yahusuyo sanaa ya mapenzi. Wiki iliyopita tulianza kujadili mada hii ya mbinu za kufanya ili kumsaidia mwenzi wako aliyepoteza hamu ya tendo la ndoa. Nilichokigundua ni kwamba wengi wanasumbuliwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

UFANYEJE MWENZI WAKO ANAPOKOSA HAMU YA TENDO?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa kona hii mahususi kwa ajili ya wapendanao, ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaendelea fresh na majukumu ya kila siku. Ni wiki nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu, kujadili mambo mbalimbali yahusuyo sanaa ya mapenzi

Wiki iliyopita tulianza kujadili mada hii ya mbinu za kufanya ili kumsaidia mwenzi wako aliyepoteza hamu ya tendo la ndoa. Nilichokigundua ni kwamba wengi wanasumbuliwa na tatizo hili lakini hawana pa kusemea wala hawajui wafanye nini.

NINI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani