Samatta, Ulimwengu watua kuiua Algeria
BAADA ya kuipa ubingwa wa Afrika klabu yao ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), washambuliaji nyota wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wamewasili nchini tayari kuwavaa Algeria katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia mwaka 2018 huko urusi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen02 Nov
Samatta, Ulimwengu send warning message to Algeria
9 years ago
Habarileo29 Oct
‘Maguri ataisaidia Stars kuiua Algeria’
KOCHA Msaidizi wa Stand United, Athuman Bilali ‘Billo’ amesema Elias Maguri anaweza kuifunga Algeria endapo kocha Boniface Mkwasa atamtumia.
9 years ago
Mwananchi09 Oct
‘Ulimwengu, Samatta kiboko’
9 years ago
TheCitizen11 Nov
Samatta, Ulimwengu, Ngassa out
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Samatta, Ulimwengu waikosa Barcelona
BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM
NDOTO za Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wanaokipiga TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kucheza na Barcelona zilizimwa jana na Sanfrecce Hiroshima ya Japan.
TP Mazembe ambao ni mabingwa wa Afrika ngazi ya klabu ilipokea kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya wapinzani wao katika michuano ya Klabu Bingwa Dunia inayoendelea nchini Japan.
Mazembe waliweza kumiliki mchezo huo kwa dakika 40 za kipindi cha kwanza kabla ya kuruhusu wapinzani wao kupata...
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Kila kona ni Samatta, Ulimwengu
9 years ago
Habarileo10 Nov
Malinzi awapongeza Samatta, Ulimwengu
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (pichani) amewatumia salamu za pongezi wachezaji Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wanaochezea klabu ya TP Mazembe ya Congo DR kufuatia kutwaa Ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CL) juzi kwa kuifunga timu ya USM Algiers kwa jumla ya mabao 4-1.
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Samatta, Ulimwengu wawafuata Msumbiji
NYOTA wa kimataifa wa Tanzania wanaochezea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, wanatarajiwa kuwasili nchini kesho. Wachezaji hao wanakuja kujiunga na kambi ya timu...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Samatta,Ulimwengu, kuikabili Malawi