Samsung Galaxy Note 4- simu iliyosubiriwa na watu wengi yazinduliwa Africa
Macho yaelekea kwenye uzinduzi nchini Tanzania!
Kampuni ya Samsung imezindua toleo jipya la simu zake za Galaxy Note 4 Jijini Berlin Nchini Ujerumani Septemba 2014. Toleo hilo la teknolojia ya kisasa katika orodha za simu aina ya Note inazidi kuimarisha kampuni ya Samsung na kuzidi kufanya vizuri katika soko la simu duniani. Siku ya tarehe 17 Octoba, 2014 Kampuni ya Samsung ilifanya uzinduzi Mjini wa Cape Town- Afrika Kusini katika ziara ya Galaxy Note 4 Barani Africa.
Watanzania...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Gizmochina18 Feb
Samsung Galaxy S20+ vs Samsung Galaxy Note 10+: Specs Comparison
5 years ago
Gizchina.Com21 Feb
Samsung Galaxy Note 10 and Note 10+ are $150 cheaper for a limited time
5 years ago
CNET25 Mar
Samsung Galaxy S10 and Note 10 to get Galaxy S20 camera features
5 years ago
Android Authority20 Mar
Apparent Samsung Galaxy Note 20, Galaxy Fold 2 references spotted in kernel code
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung yazindua Samsung Galaxy Note 4 Tanzania
Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa Terrace, Slip way.
Baada ya kusubiriwa miezi kadhaa, Kampuni ya kielektroniki ya Samsung Tanzania imeongeza rasmi mwanafamilia mpya katika simu aina ya Note. Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Terrace , Slipway ni alama ya uzinduzi rasmi na upatikanaji wa Samsung Galaxy Note 4 katika soko...
5 years ago
TechRadar India22 Feb
What can the Samsung Galaxy S20 tell us about the Galaxy Note 20?
5 years ago
Forbes08 Mar
Samsung Galaxy Note 20: Everything We Know So Far
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TgHj0KqUN*u*wnOB2ZaTRL5D3dqRD-Q8Ktiwb4q3qNjy4JmD32auA6TmlcTxLFqZxe9FOjJu-1bYo6na24*ARGmRTl2BjvkJ/GALAXYNOTE.jpg)
5 years ago
Forbes06 Mar
Samsung Insider Exposes Radical Galaxy Note 20 Upgrade