Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Savio katika ratiba ngumu

Savio yenye ratiba ngumu wiki hii itaikabili Vijana kwenye mchezo wa ligi ya mpira wa kikapu inayoendelea kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAPENZI KATIKA SURA PANA YA NYAKATI NGUMU-2

Tupo kwenye mada yetu, somo hapo ni mapenzi katika maana pana ya nyakati ngumu. Kimsingi hizi zipo na huwezi kuishi siku zote za maisha yako bila kukabiliana nazo. Noa kichwa na ujiweke mkao wa kushinda. Changamoto zisikudondoshe, unatakiwa kuzishinda kwa tabasamu. Unapoingia katika nyakati ngumu siyo kila mtu unaweza kumweleza matatizo yako. Bora usimwambie yeyote. Jitahidi kulala na kuamka ukitafakari, pengine ukapata ufumbuzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msama aungwe mkono katika vita hii ngumu

TASNIA ya sanaa kwa ujumla wake, si burudani tu bali ni ajira kwa wenye vipaji wanayoweza kuitumia katika kuendesha maisha yao kama ilivyo kwingineko duniani. Lakini, kwa hapa nchini bado...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mambo ya kifedha yanayofaa kuzingatiwa katika nyakati ngumu za kiuchumi

Wataalamu wa masuala ya fedha wanashauri masuala kadhaa ili kudhibiti matumizi ya fedha wakati huu wa changamoto ya kiuchumi

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo katika ligi kubwa barani Ulaya

football-ground

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Baada ya michezo ya katikati ya wiki iliyohusisha mashindano makubwa barani Ulaya ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA na Uefa Europa League, ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea wikiendi hii, ifuatayo ni ratiba ya michezo hiyo;

UINGEREZA, PRIMIER LEAGUE

Norwich – Everton           15:45 EAT

Crystal Palace – Southampton           18:00 EAT

Manchester City – Swansea           18:00 EAT

Sunderland – Watford           18:00 EAT

West Ham United – Stoke City           18:00...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo jumanne Novemba 24 katika ligi ya mabingwa Ulaya UEFA

uefa_champions_league-wallpaper-1440x1080

GROUP: E

BATE Borisov – Bayer Leverkusen   20:00 EAT

Barcelona – Roma  22:45 EAT

GROUP: F

Arsenal – Dinamo Zagreb  22:45 EAT

Bayern Munich – Olympiakos  22:45 EAT

GROUP: G

Porto – Dynamo Kyiv  22:45 EAT

Maccabi Tel Aviv – Chelsea  22:45 EAT

GROUP: H

Zenit St. Petersburg – Valencia  20:00 EAT

Lyon – Gent  22:45 EAT

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya kesho Jumamosi Desemba 5 katika ligi kubwa barani Ulaya

video-undefined-255BA17500000578-894_638x366

moja ya mchzo unaosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa timu zote mbili hiyo kesho..

WINGEREZA – PRIMEAR LEAGUE

Stoke City – Manchester City          18:00 EAT

Arsenal – Sunderland          18:00 EAT

Manchester United – West Ham United          18:00 EAT

Southampton – Aston Villa          18:00 EAT

Swansea – Leicester City          18:00 EAT

Watford – Norwich City          18:00 EAT

West Bromwich Albion – Tottenham Hotspur          18:00 EAT

Chelsea – AFC Bournemouth          20:30 EAT

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi Novemba 21 katika ligi tano kubwa barani Ulaya

Barclays-Premier-League-Watford-V-Man-Utd-Live-Preview-and-Prediction

WINGEREZA – PRIMEAR LEAGUE

Watford – Manchester United        19:45 EAT

Chelsea – Norwich City        18:00 EAT

Everton – Aston Villa        18:00 EAT

Southampton – Stoke City        18:00 EAT

West Bromwich Albion – Arsenal        18:00 EAT

Newcastle – Leicester City        18:00 EAT

Swansea – Afc Bournemouth        18:00 EAT

Manchester City – Liverpool        20:00 EAT

HISPANIA – LIGA BBVA

Real Sociedad – Sevilla        18:00 EAT

Real Madrid – Barcelona        20:15 EAT

Espanyol –...

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA MABONDIA WA TANZANIA WANAOWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA SCOTLAND (NDONDI)

Hatimaye ratiba ya mchezo wa ngumi kwa mashindano ya Jumuiya ya Madola imetolewa leo tarehe 24/07/14 baada ya zoezi la kupima uzito na afya lililofanyika kuanzia saa 2.00 hadi saa 4.00 Asubuhi kwa saa za Scotland, kwa mabondia na waamuzi wote wanaotegemea kushiriki mashindano hayo`1.
Ratiba hiyo inaonyesha kuwa mashindanoo yataanza  tarehe 25/07/14 na yatamalizika tarehe 02/08/14.katika ukumbi wa Secc (Hall 4A) na inaonyesha kuwa captain wa timu ya Tanzania Selemani kidunda ndiye atayeanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani