Semina ya mawakala wa shindano la Redd's miss Tz yafungwa Rasmi
![](http://2.bp.blogspot.com/-cpf3131BG5s/UzPEl7KKcEI/AAAAAAAFWu0/ocrMsM_F2Zc/s72-c/1.jpg)
Meneja wa kinywaji cha Redd’s Origina Victoria kimaro katikati akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa viongozi wa kamati ya Miss Tanzania katika siku ya kufunga semina ya mawakala wa shindano la Redd’s miss Tanzania kwa mwaka huu, kushoto kwake ni mkurugenzi wa kampuni ya LINO Intenational Agency Hashim Lundenga, Redd’s Miss Tz 2013 Happines Watimanya na Meneja masoko wa TBL Vimal Vaghmaria kulia mwenye miwani.
Redd’s Miss Tz 2013 Happines Watimanya akiwa katika picha ya pamoja na...
Michuzi