Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI MASHINE ZA HYDRAFORM MKOA WA DODOMA‏

Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma Bw. Itandula Gambalagi akikabidhi mashine 28 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi katika hafla iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Chamwino. Mkufunzi kutoka VETA akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa jinsi mashine hizo zinavyofanya kazi…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI MASHINE ZA HYDRAFORM MKOA WA DODOMA

1Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma Bw. Itandula Gambalagi akikabidhi mashine 28 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi katika hafla iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Chamwino. 2 Mkufunzi kutoka VETA akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa jinsi mashine hizo zinavyofanya kazi 3Mkuu wa mkoa Dr Rehema Nchimbi akikabidhi mashine kwa wakuu wa wilaya za Chamwino na Kongwa kwa niaba ya wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Dodoma. (Picha kwa hisani ya kittengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha...

 

10 years ago

GPL

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZAKE ZA VICTORIA PLACE, DAR‏

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanyamahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirikala Nyumba la Taifa (NHC) kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za…
...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, ANGELA KAIRUKI ATEMBELEA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) MKOA WA KILIMANJARO

Ofisi za Shirika la Nyumba la Taifa mkoani Kilimanjaro. Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza na wafanyakazi wa shirika laArdhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki,kulia kwake ni Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro Sheakh Kombo,Baadhi ya wafanyakazi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 


 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ,ANGELA KAIRUKI ATEMBELEA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)MKOA WA KILIMANJARO

Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza na wafanyakazi wa shirika laArdhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki,kulia kwake ni Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro Sheakh Kombo,Baadhi ya wafanyakazi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro.
Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro ,Sheakh Kombo akizungumza wakati akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Naibu Waziri,Kairuki akifurahia jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro,Sheakh Kombo.Naibu Waziri wa...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA MIKOANI‏

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akipewa maelezo ya mradi wa nyumba za kuuza za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli na Msimamizi wa mradi huo Bw. Hassan Bendera. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akikagua mchoro wa ujenzi wa nyumba za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,...

 

10 years ago

GPL

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA AWAFUTURISHA WAFANYAKAZI‏

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifuturu pamoja na wageni waalikwa kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya NHC (NHC PLACE) jijini Dar es slaan Julai 3, 2015 ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC yeye mwenyewe. Waandazi wa futari hiyo iliyofuturiwa jijini Dar es Salaam wakiendelea na maandalizi siku ya tukio.… ...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC MIKOANI‏

Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu wakikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya NHC kujenga nyumba za gharama nafuukatika Halmashauri ya Wilaya Serengeti-Mugumu. Eneo hili lina ekari 134 na miundombinu ya maji na umeme. Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mugumu Serengeti akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC ramani ya mpango Miji inayoonyesha eneo la NHC la kujenga nyumba za gharama...

 

9 years ago

GPL

WAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AAGA RASMI SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA‏

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokea ngao yenye picha ya chui ikiwa ni ishara ya tuzo ya Shirika la Nyumba la Taifa kwa Waziri huyo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu kwa kuonyesha utendaji uliokuwa wa kasi usiochoka wakati Waziri Lukuvi alipotembelea katika Shirika hilo kuaga rasmi.… ...

 

10 years ago

GPL

UTIAJI SAINI MANUNUZI YA ENEO LA OFISI KWENYE JENGO LA MOROCCO SQUARE KATI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM‏

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani