SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LANG'ARA MAONYESHO YA 39 YA SABASABA
Afisa Mwandamizi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Salvatory Hinju akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.
Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa Tuntufye Mwambusi akizungumza na mmoja wa wateja wa Shirika la Nyumba alipofika kwenye banda...
Michuzi