SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA YA IRINGA YATIMUA WALIMU 'MAFATAKI'
Mkuu wa Shule ya Sekondari
Mwembetogwa, Kevin Mlengule
SHULE ya Sekondari ya Mwembetogwa ya Mjini Iringa imepongezwa na wadau wake baada ya hivikaribuni kuwafukuza kazi walimu wanne wa kiume waliobainika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao wa kike maarufu kama mafataki
“Tunataka shule nyingine ziige mfano wa shule hii, tumefarijika kusikia imechukua uamuzi huo na kwa kufanya hivyo tunaamini shule hiyo itakuwa salama kwa watoto wetu wa kike,” alisema mmoja wa wazazi wenye watoto...
Michuzi