SIJAWAHI KULALA NA TINY - MAYWEATHER
Picha inayodaiwa kuleta kizaazaa. Bondia Floyd Mayweather akifunguka katika mahojiano na necolebitchie.com. BONDIA Floyd Mayweather amefunguka kuwa hajawahi kulala na mpenzi wa rappa T.I aitwaye Tiny. Mayweather ameyasema hayo ikiwa ni siku chache tangu ugomvi kati ya kundi lake na T.I utokee kisa kikitajwa kuwa ni uhusiano wa kimapenzi kati ya bondia huyo na Tiny. Katika mahojiano na mtandao wa necolebitchie.com, Floyd...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Jini Kabula: Sijawahi kulala gesti na mwanaume
NA RHOBI CHACHA
STAA wa Bongo movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, ametoa kali kwamba katika maisha yake ya mapenzi hajawahi kulala na mwanaume kwenye nyumba za wageni.
Kabula alisema wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi walipotaka kumpeleka katika nyumba hizo aligoma na badala yake aliwataka wampeleke wanapoishi kama hataki hapati kitu.
“Siwezi kuficha, ukweli ndio huo kama huamini basi, mwanaume akinitaka huwa ananipeleka kwake sio gesti kama hataki aniache tu, naendeleza rekodi yangu ya...
9 years ago
Mtanzania05 Jan
T.I na Tiny wanatarajia mtoto wa pili
NEW YORK, MAREKANI
MKALI wa hip hop nchini Marekani T.I na mke wake, Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa pili hivi karibuni
Endapo watafanikiwa kupata mtoto huyo basi T.I atakuwa na jumla ya watoto sita, lakini kwa Tiny atakuwa na watoto watatu.
“Ni furaha kubwa kuona familia yetu inaongezeka, tunatarajia kupata mtoto hivi karibuni, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu,” alisema Tiny.
T.I ni miongoni mwa wasanii ambao wana watoto wengi nchini Marekani kama vile DMX ambaye ana watoto 12.
Kupitia...
5 years ago
The Verge06 Apr
This Pittsburgh arcade is now a tiny virtual world
5 years ago
Space.Com13 Mar
These two tiny spacecraft will help pave the way for astronauts to return to the moon
5 years ago
Phys.Org31 Mar
Tiny optical cavity could make quantum networks possible
5 years ago
The FADER16 Mar
Watch Harry Styles’ NPR Tiny Desk Concert
9 years ago
Bongo528 Dec
T.I na mkewe Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa tatu
![Ti and Tiny](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Ti-and-Tiny-300x194.jpg)
Rapper T.I wa Marekani na mkewe Tameka “Tiny” Cottle-Harris wanatarajia kupata mtoto mwingine atayefikisha idadi ya jumla ya watoto saba wa familia yao.
Taarifa hizo zilitolewa na Tiny December 25 kupitia Instagram.
T.I na Tiny tayari wana watoto wawili, King na Major waliowapata pamoja, huku T.I akiwa ni baba wa watoto wengine watatu, Messiah, Domani na Deyjah aliowapata kwenye mahusiano yake yaliyopita, na Tiny naye ni mama wa mtoto mmoja wa kike Zonnique aliyempata kwenye uhusiano wake...
5 years ago
The Verge01 Apr
This tiny AirPods bag lets you carry your headphones like Rihanna
11 years ago
TheCitizen19 Jan
Speed limits will at best avert only a tiny fraction of road accidents