Simba wampiga 'stop' kocha wao
Wakati kikosi cha Simba leo kikishuka kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara kuumana na Ndanda FC ya mkoani humo, Uongozi wa klabu hiyo umempiga ‘stop’ kocha wake, Goran Kopunovic kuzungumzia ligi kuu mpaka baada ya michezo mitatu.
Akizungumza na NIPASHE jana, Mjumbe wa Kamati ya utendaji ya klabu hiyo, Said Tully, alisema kuwa wameamua kufanya hivyo kwa kuwa kocha huyo bado ni mgeni na ligi kuu.
Tully alisema kwa sasa kocha huyo hawezi kuzungumzia ligi kuu kwa kuwa aliwasili nchini...
Vijimambo