Simba, Yanga zipo kila kona
Simba na Yanga hazitokutana kwenye mechi za ufunguzi wa Ligi Kuu msimu ujao, lakini ratiba iliyotolewa jana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ni kama imezichonganisha timu hizo mbili kongwe na kubwa kwa soka la Tanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Zipo wapi kumbukumbu za Yanga, Simba?
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...
9 years ago
Habarileo27 Dec
Yanga kila siku kwao sherehe, Simba bado
YANGA jana ilizidi kuchanja mbuga kuelekea kutetea taji lake la Ligi Kuu baada ya jana kuifunga Mbeya City mabao 3-0. Ushindi huo umeifanya Yanga ifikishe pointi 33 kwenye msimamo ikiwa kileleni.
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Lowassa kila kona
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Majanga kila kona
11 years ago
GPLCHAMPIONI KILA KONA
10 years ago
Habarileo08 May
Mafuriko kila kona
MVUA kubwa iliyonyesha jijini Dar es Salaam kuanzia juzi, imesababisha mafuriko na kuua watu watatu, kuharibu nyumba kadhaa na miundombinu ya barabara na maji katika sehemu mbalimbali.