Simple Hope Foundation wamtembelea Balozi Mulamula Wizara ya Mambo ya Nje
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Bi. Pamela A. Schwalbach, mmoja wa waanzilishi wa Shirika la (Simple Hope East Africa) linalo fanya kazi za kijamii na wakina mama wa Kabila la Hadzabe, Mkoani Manyara. Bi. Pamela (katikati) na Bi Karen J. Puhl (Kushoto) wakiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mkuu Mambo ya Nje ambapo alipata wasaa wa kupokea taarifa ya kazi za shirika hilo lisilo la kiserikali la Marekani, Jimbo la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: BALOZI MULAMULA ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, BALOZI SIMBA NAIBU WAKE
Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.
Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya (chini) kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Wizarani...
10 years ago
VijimamboMHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AAGWA NA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MAREKANI.
Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na maafisa wa ubalozi wakisikiliza hotuba zilizokua zikiendelea.
Mkuu wa Itifaki Bw Peter Selfidge pamoja na Balozi Liberata Mulamula wakipata nasaha fupi Baadhi ya mabalozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki nao hawakua nyuma kujuika na Balozi Liberata Mulamula kutoka...
10 years ago
Vijimambo04 May
BALOZI LIBERATA MULAMULA ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka Mulamula kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.
Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya kuwa naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya...
10 years ago
Dewji Blog04 May
News Alert: Balozi Mulamula Katibu Mkuu mpya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Balozi Liberata Rutageruka Mulamula
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka Mulamula kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.
Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya kuwa naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya...
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AMTEUA BALOZI MULAMULA KUWA KATIBU MKUU, WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE BALOZI LIBERATA MULAMULA AAGANA RASMI NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WASHINGTON DC.
Baadhi ya wafanyakazi wakisikiliza kwa makini mawaidha kutoka kwa Balozi Liberata Mulamula pichani kuanzia kushoto ni Afisa Swahiba Mndeme akifuatiwa na Yacob Kinyemi wa dawati la Diaspora na mwisho ni Edward Taji msimazi wa kitengo cha visa.
Mhe .Balozi Liberata Mulamula alipata fursa ya kumpongeza na kumpa cheti John Anbiah kama mfanyakazi bora wa...
10 years ago
VijimamboMHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA , KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA BALOZI LIBERATA MULAMULA AONDOKA RASMI MAREKANI KURUDI TANZANIA.
Safari ya kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Dulles ikianza.
Mhe Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Agnes Mutta Mke wa Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC.
Mhe Balozi Liberata Mulamula pamoja na Mkuu wa Utawala Lily Munanka wakibadilishana mawazo pamoja na familia...
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
Mhe Katibu Mkuu akiwa pamoja na Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bi. Swahiba H. Mndeme.
Mhe. Katibu Mkuu akiwa katika kikao na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania,...