Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMU TV: MAPITIO YA MAGAZETI


SIMUtv: Lowassa mazima mazima UKAWA. Aingia kwa mbwembwe na kupokelewa kwa shangwe. Tazama Magazeti yalivyoandika. https://youtu.be/RZUtLRHWHDYSIMUtv: Je wajua nini kimejiri katika habari za Magazeti ya Leo baada ya Lowassa kujiunga CHADEMA? Tazama hapa. https://youtu.be/07JFxNMOEV0SIMUtv: Lowassa azamia CCM na kuibukia UKAWA. Je hayo ndiyo maamuzi magumu? Jibu hili hapa katika Magazeti ya Leo. https://youtu.be/G5Z5ne8np2cSIMUtv: Tazama uchambuzi wa habari za Michezo zilizojiri Kitaifa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

MAPITIO YA MAGAZETI NA SIMU TV

 SIMU.TV: Kasi ya Rais Magufuli yaanza kuitikiwa huku watumishi wakiaswa kutii falsafa ya hapa kazi tu, Aliyeokolewa mgodini afariki dunia, kwa mapitio yadondoo za habari hizi magazetini:BOFYA HAPA
SIMU.TV:  UVCCM walia na UKAWA kumsusia Rais Magufuli, Mchujo NECTA kuanzia darasa la 2. Pata dondoo za magazeti ya leo:BOFYA HAPA
SIMU.TV: Wabunge wagonga mwamba kwa Rais Magufuli , Muhimbili hakukaliki, Mawaziri sura mpya zatawala. Dundika na Dondoo za magazeti ya leo.BOFYA HAPA
SIMU.TV:...

 

10 years ago

Michuzi

SIMU TV: MAPITIO YA MAGAZETI LEO


SIMUtv: Lipumba afanya maamuzi magumu , ajivua rasmi uenyekiti CUF na kuituhumu UKAWA. Tazama zaidi uchambuzi wa habari za Magazeti. https://youtu.be/KdEMeaxaBA8SIMUtv: Maamuzi magumu ya Lowassa yahamia kwa Lipumba. Aukosoa UKAWA na kujiuzuru. Mengi yaandikwa katika Magazeti ya Leo. https://youtu.be/EsToWBi9JVgSIMUtv:UKAWA hali tete,mwamba mmoja wavunjika,wahaha na vikao kumjadili Lipumba kuachia ngazi. Jionee habari hizo katika Magazeti ya Leo.  https://youtu.be/iECu-SGN5KkSIMUtv: Klabu ya...

 

9 years ago

Michuzi

MAPITIO YA MAGAZETI LEO

Wasomi wamchambua Dr. John Magufuli undani wa habari hii inapatikana katika magazeti ya leo  Octoba.31.2015; https://youtu.be/DrYYX3PzFiY 
Simba yaitega Azam, Mbeya City wamefanya kweli. Ndivyo gazeti  la Mwanaspoti linavyojinadi katika kurasa zake siku ya leo; https://youtu.be/ljShGJxMUo0
Magufuli awapasha wanafiki,  Vijana wa UKAWA waachiwa kwa dhamana, Tume ya uchaguzi yamaliza kazi rasmi. Pitia dondoo za magazeti; https://youtu.be/iZRIy7ugwsI
35 waliochoma maboksi ya kura Mbagala Kortini. Pata...

 

9 years ago

Michuzi

MAPITIO YA MAGAZETI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV:  Ndungai,Dk.Tulia, Mwinyi wapenya kuwania uspika, rais Magufuli amtumia rais wa Ufaransa salamu za rambirambi; https://youtu.be/gDawuK9CXxI
SIMU.TV:  Wanafunzi walimishwa mashamba ya walimu kwa sh.200/-, matrafiki 57 Pwani waondolewa; https://youtu.be/1hm7HXxQbBc 
SIMU.TV:  Stars matumaini kibao Algeria, Samatta, Ulimwengu walala sakafuni taifa, kocha mpya Simba apewa masharti mawili magumu; https://youtu.be/t0AxmnMMoVU
SIMU.TV:  Siri ya uchaguzi Zanzibar yafichuka, ada elekezi shule...

 

9 years ago

CCM Blog

MAPITIO YA MAGAZETI YA LEO KATIKA TELEVISHENI ZA TANZANIA

MLIMANI TV TBC cHANNEL 10 STAR TV AZAM TV

 

9 years ago

Michuzi

MAPITIO YA MAGAZETI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI LEO

SIMU.TV: Rais Magufuli ashusha rungu Muhimbili, avunja bodi, amuondoa mkurugenzi mkuu, ni baada ya kufanya ziara ya ghafla hospitalini hapo;  https://youtu.be/UPucMJf1cO8

SIMU.TV: Seif, Shein wateta ikulu Zanzibar. Wawakilishi CUF wazidi kuing’ang’ania ZEC. Wabunge watumia vyeti kuhalalisha ushindi CUF;  https://youtu.be/FLs0DyJ1VMs

 SIMU.TV: Helen Simba ahamishiwa ICU, Ubunge viti maalum yaivuruga CHADEMA. Uganda yanunua hospitali Tanzania; https://youtu.be/z5MdQ7ROUxs

 SIMU.TV: Samatta,...

 

9 years ago

Michuzi

MAPITIO YA MAGAZETI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI


SIMU.TV: Ziara za ghafla za rais Magufuli zazua matumaini hofu na wasiwasi. Watalii waendelea kumiminikaTanzania licha ya uchaguzi; https://youtu.be/dFvaCQdV8aU  

SIMU.TV: Mazungumzo ya Shein, Seif yapongezwa , CHADEMA waanika vigezo viti maalum. Ni katika magazeti ya leo. November 11, 2015; https://youtu.be/7oqCFYO_73I 

SIMU.TV: NGO yakomesha udhalilishaji soko la Tabata, NEC yapongeza waandishi wa habari. Pitia dondoo za magazeti ya leo hapa Simu.tv; https://youtu.be/LNVKjHDX--M

SIMU.TV: Simba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani