SIMU TV:HABARI KUTOKA TELEVISHENI
![](http://img.youtube.com/vi/WuWMIAgiawY/default.jpg)
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/gA5Up8AHfFE/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MCAeAHgNkkE/default.jpg)
SIMU TV: HABARI ZA MICHEZO KUTOKA TELEVISHENI
Ligi ya La liga ya Italia imeendelea weekend hii huku timu ya Real Madrid ikinyuka mtu goli 3 kwa 1 na kuendelea kukaa kileleni. https://youtu.be/TIk-rLmnvqQ Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa bila dhidi ya Kagera Sugar huko Tabora. https://youtu.be/2xT90QEpaZc Klabu ya Simba imefanikiwa kuishushia kipigo cha mbwa mwizi klabu ya Majimaji ya Songea baada ya kuibuka kwa ushindi wa goli 4 kwa O. https://youtu.be/IlirdYJ8txM
Klabu ya Liverpool...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/m50IiIcEQoM/default.jpg)
SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI MBALIMBALI
AZAM TV: Mhe.Lowasa awaomba wananchi wa Mleba kumpigia kura ili aweze kutekeleza adhma yake ya kuwatumikia wananchi; https://youtu.be/VkTOsMHTP-I
CH 10: Mgombea mwenza CCM Samia Suluhu atinga kisiwani Mafia na kuwaelezea wakazi wa kisiwa hicho ilani ya chama hicho; https://youtu.be/8FAmnOwHPiU
tbc: Raia 40 wa Ethiopia wanashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Lindi kwa kuingia nchini bila kuwa na kibali; https://youtu.be/KJ0X9vKqiao
star tv: Vyombo vya habari nchini vimetupiwa lawama kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/JS7RTzpqn0U/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Wmiq_D3nxJ8/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/j17Ft_Lo0VM/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/hyyDIAvG7nM/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/CPupB76lEsA/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/xraRQLvOg0U/default.jpg)
DONDOO ZA HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI KUPITIA SIMU TV
SIMUTV: Watoto yatima wawili wakazi wa manispaa ya Ilemela mjini Mwanza wafanikiwa kupata hati ya nyumba yao ya urithi baada ya shririka lisilo la kiserikali KIVULINI kushirikiana na uongozi wa mtaa kuingilia kati sakata hilo. http://youtu.be/3PB-kjC4sNI
SIMUTV: Mwenyekiti wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba awataka wananchi kijiandikisha katika daftari la wapiga kura wakita akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Mwanza. http://youtu.be/1VWsaj6DNHMSIMUTV: Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini Christopher...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania