SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-10
![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY-QGfaq48Y-FyAySBtHOCtUNb2WuyyYT2xmQGQIAVShGjI8pQlV24SPlvY8wwYaJtlAYVrRbRhPU1LL9aUaj3x/bahati.jpg?width=650)
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA “Sawa. Hakuna noma, Bongo Fleva kama Sister P au Taarab kama Khadija Kopa?†“Hapana. Nataka kuimba nyimbo za Injili,†“Nyimbo za Injili?†“Ndiyo.†“Mmmh!†aliguna Ezekiel.endelea nayo... Katika chuo kama hicho, kulikuwa na wanachuo waliokuwa wakisomea kozi mbalimbali. Kulikuwa na wale ambao muda mwingi walikuwa bize na uandishi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtF1x4xXMdZlC2FEZJyESCdcRaO74nh*UgpnBp9EpKYdZv4TrqXtBAkAxN-LnHILexps*lwtKynog0iCP7hGD4NN/bahati.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU -8
ILIPOISHIA:
KATIKA kila neno nililokuwa nikiongea mahali hapo nilikuwa nikijiamini. Msichana yule akaanza kuniangalia kuanzia juu mpaka chini, akayarudisha macho yake chini mpaka juu, akakunja uso wake kwa hasira. Nikaona siku ile lingetokea balaa mahali pale.
ENDELEA NAYO.... YESU AMBADILISHA MAISHA
Huo ndiyo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kuwepo pale shuleni, katika maisha yangu yote kipindi hicho nilikuwa nikimtumikia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632oulyszhvdqS1BzTyvA9r3R3GpOaudY*gLjytq9N9NFILkAD67TdJYSy1E4rd*rmzHV67r-1kxeNC11RK8wZGhq/8.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-6
WOKOVU WAWASHANGAZA WALIMU, WANAFUNZI Sala ya toba ilipomalizika, tukaruhusiwa kwenda kukaa huku nikiendelea kulia, mama ndiye akawa mfariji wangu pekee. Kuanzia siku hiyo, vurugu zote nikaacha, nikawa mtoto mwema na wala sikuwa mtu wa kuwapiga wenzangu kama nilivyokuwa. Kila mtu alinishangaa, hawakuamini kama Bahati nilibadilika. ENDELEA NAYO... Mwinjilishaji kwa njia ya wimbo, Bahati Bukuku akipozi. Maisha yangu ya wokovu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3dClu3zYZutRJNm*26*6Td5myoq2e6nA22xEQAqig5I7LZXwYGqmqlBpl9trXdhjSqbr5K9DeDf6BEjPrT6o5hyHldiyZ*vr/bukuku.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA... BAHATI BUKUKU-4
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA
Japokuwa nimejitahidi sana kuisahau siku hii lakini moyo wangu umeshindwa kufanya hivyo. Kila ninapotulia, iwe sebuleni au chumbani kwangu, picha ya siku hiyo huwa inanijia kichwani mwangu. Tukio hilo limekuwa kubwa kwangu huku likiendelea kujirudia kama mkanda wa filamu.
SHUKA NAYO SASA… Nilipenda kwenda shule kusoma, na hii ilikuwa njia mojawapo ya kuepuka kufanya kazi za nyumbani, hasa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjbmxFNFRwEG3JhmJas9v2Bjv1oeSYK6mmDzTrBygUjLHlQ4baAZqlmYh6i7obbX0f-xArykrHMcT*snDyJEkEJee/15.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-9
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA
“Mungu, kwa nini hii inatokea kwangu? Kwa nini umeniacha niaibike? Kwa nini umeiacha aibu hii usoni mwangu?†nilimuuliza Mungu. Siku hiyo, nililia mno, sikujua kama katika yote aliyokuwa ameyafanya, yalikuwa ni njia moja ya kuniinua na kuniweka hapa nilipo sasa shuka nayo zaidi..... Mwimbaji mahili wa nyimbo za injili Bongo,Bahati Bukuku. AKATA TAMAA YA KUSOMA
Kama kulikuwa na watu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWTTEQfGPTmBEo-9W-sxESd16RPbXHJZVZ09XxN9b28w01ioZcbQDTzURLcRogX*PHmaHlvlI2cabuYbe4IqiFcS/bahati.jpg)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-7
AKUTANA NA MICHEZO YA ‘KUPIGISHWA SIMU CHOONI’ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: MANENO yake yalinifariji mno, nikajikuta nikimkumbatia, hata baba aliporudi nilimwambia kwamba matokeo hayakuwa mazuri, hakunichapa wala kunigombeza, bali alinitia nguvu kwa kuniambia kwamba maisha yanaendelea hivyo nilitakiwa kujipa nguvu kwa kuona huo haukuwa mwisho wa maisha yangu, safari ilikuwa ikianza upya.
ENDELEA… Hakukuwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdOpt-5QK04ca*45lqrmT-dtBWoW5O4k3jrEZb06eVbgkjhWXjG5j1YsTAr8T7s3eWHPvyL1Z*AmDLF3ViPHKweK/bahati.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-11
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
KILA siku nilikuwa mtu wa kupiga goti ili kama ikitokea nikipata mume, basi awe yule aliyetoka kwa bwana. Pamoja na hayo yote, bado huduma yangu ya kumuimbia Mungu ilikuwa ikiendelea, taratibu nikaanza kupata jina makanisani.
SASA ENDELEA... Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo,Bahati Bukuku. MIALIKO yamiminika!
Japokuwa sauti yangu ilikuwa nzito lakini bado ilipendwa sana. Jina langu liliendelea...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSrX0OEQWlVJdgWhrLxFf4VLW3xBx*aeRucLtVYYf9uhxpNo6XV9VUiv7bXsHSY59NXgCFyZ58LD-uiyoZtKXmSY/BAHATI.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-12
ILIPOISHIA:
Iliishia pale Bahati alipokuwa na kiu ya kuolewa, alipiga goti na kumuomba Mungu kwamba endapo atampa mume, basi awe mume aliyetoka kwake (Mungu). ENDELEA... Mwimbaji wa nyimbo za injili Bongo, Bahati Bukuku. Ikumbukwe kwamba siku nimezaliwa katika familia inayomjua Mungu, nimelelewa katika wokovu kwa kipindi chote cha maisha yangu, kwa hiyo hata kwenye suala zima la kuolewa nililiacha mikononi mwa Mungu. Siku...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*C-pdL*s3NoQ-mjQgwPSG7WdeDlP2gNbF40IXmmm8XpOybD4b-lq-f6DBHtT3V7TzyqCwio7yh1xnPuqmxVBXb5/bahati.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-13
ILIPOISHIA: WIKI iliyopita iliishia pale alipokuwa akijiandaa kufunda ndoa baada ya kuvalishwa pete ya uchumba kanisani huku kila siku alizokuwa akionana na Daniel, ilikuwa ni lazima awe na ndugu zake kwa kuwa naye shetani alikuwa kazini. ENDELEA.. Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Bukuku. Kila kitu kilikuwa kimekamilika, ndoa tu ndiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa. Katika muda wote huo nilikuwa nikionana na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1cqeEyGPynR*Rzz4NiEN47afQJum6dInKR7qR*H-XO3Wtmv6lKvyz6nWf9UeY25xzTCvqvx9Ov5aSd0KB8RFZvjE/BAHATIBUKUKU.jpg?width=650)
SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU; AWAPIGA WANAFUNZI WENZAKE - 2
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku. ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA
Nilikifuata kisima kile na kutulia pembeni huku nikiwa nimejikunyata.
Ni sauti za ng’ombe na mbuzi tu ndizo zilizokuwa zikisikika asubuhi hiyo, watu wengine walikuwa wamelala kwani ilikuwa ni asubuhi sana.
SASA ENDELEA... Watoto tulikuwa na mchezo fulani hivi, ukisikia mzazi wako kakwambia uende kuoga, ukifika kule wala haujisugui, kama ni bafuni...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania