Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMULIZI TAMU YA WEMA SEPETU - 3

Diva wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu. MAKALA: IMELDA MTEMA
WIKI iliyopita Wema alisimulia mpaka kwenye uhusiano wake na aliyekuwa mwanamuziki wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Chaz Baba. Alisema katika wapenzi wake wote, mwanamuziki huyo alikuwa kipenzi cha dada yake ambaye hakumtaja jina. Pia, Wema alianika kisa cha kuachana na Chaz Baba kwamba ni tabia yake ya ‘umende’. Akatua kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA WEMA SEPETU

Mwandishi: Imelda Mtema
WEMA Isaac Abraham Sepetu si jina geni Bongo, ni suptastaa aliyetokana na kushiriki mashindano ya  kugombea Taji la Miss Tanzania 2006,  akashinda. Pia anafanya vizuri kwenye filamu za Kibongo.
Ni mrembo mwenye historia ndefu ikisindikizwa na matukio mabaya na mazuri katika kipindi chote tangu ashike taji hilo mpaka sasa. Wema Sepetu alipotwaa taji la Miss Tanzania 2006. Katika mahojiano na Amani...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA WEMA SEPETU-6

Wiki iliyopita, Wema alisimulia mpaka kwenye matumizi ya mkorogo ambapo alisema kwa sasa yuko sawa, ngozi safi na hatumii tena mkorogo. Staa wa Bongo Muvi Wema Sepetu Ndani ya ofisi za Global Publishers. Lakini akatupiwa swali, ilikuwaje akarudiana na Diamond?
Wema:  Duuh! Yaani toka tulivyokuwa China tulikuwa tumesharudiana siku nyingi hapa Bongo lakini tulikuwa hatujaweka wazi kwa sababu baby mwenyewe (Diamond) alikuwa...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA WEMA SEPETU - 4

Wema Sepetu. WIKI iliyopita, Wema aliendelea kuelezea simulizi yake tamu ambayo imetokea kupendwa na wasomaji wengi wa Gazeti la Amani. Aliishia pale alipoweka wazi kisa cha kuachana na Chalz Baba, akaeda Marekani, aliporudi akawa na Diamond: Tujikumbushe kidogo kisha tuendelee… Mwandishi: Nakumbuka ulipoondoka nchini kwenda Marekani ulikuwa na mapenzi na Chaz Baba, lakini uliporejea ikasikika kwamba upo na Diamond, nini...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA WEMA SEPETU-2

Wema Isaac Sepetu. MAKALA: Imelda Mtema
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita mwanadada Wema Isaac Sepetu aliishia pale alipokutana na aliyekuwa staa mkubwa wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Kanumba. ENDELEA… “Basi wakati tunatoka na dada, tukamwona tena Maya (mwigizaji Mayasa Mrisho), akaniita nimsogelee, nikamwambia nina haraka. Maya alichukua namba yangu ya simu ya mkononi lakini akaisevu kwenye simu ya Kanumba,...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA WEMA SEPETU-7

Wema Sepetu. Wema hakuwahi kurudi kwenye ofisi yake baada ya kigogo wa ikulu kuchukua vitu vyote
WIKI iliyopita tuliishia pale Wema alipoweka wazi kuhusu kilichotokea baada ya kupanda kwenye jukwaa Leaders Club jijini Dar ambapo mpenzi wake Diamond alikuwa akiangusha shoo ya nguvu. Alisema mama yake alikasirika sana na pia baadhi ya ndugu walimpigia simu na kumshangaa kwa alichokifanya kwa sababu walikuwa wanamjua kigogo wa...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA WEMA SEPETU-8

Wema Sepetu. Wema na Diamond Platnumz tayari wamerudisha uhusiano wao baada ya huko nyuma kila mmoja kushika hamsini zake kwa takriban kipindi  cha mwaka mmoja  huku kila mtu akiwa katika uhusiano mwingine. Unataka kujua kilichoendelea? Ungana nami IMELDA MTEMA katika simulizi hii tamu baada ya Wema kurudisha majeshi kwa Diamond. Mwandishi: Kuna kipindi meneja wako, Martin Kadinda alikuwa akilalamika sana kuhusiana wewe...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA WEMA SEPETU-5

MAKALA: Imelda Mtema
Wiki iliyopita, Wema alisimulia mpaka kwenye madai ya kuwa na uhusiano na Prodyuza Hartmann Mbilinyi ambapo alikanusha kuwa naye kimapenzi.
Tujikumbushe… Wema Sepetu 'Madam'. VIPI KUHUSU HARTMANN?
Mwandishi: Iliwahi kusemekana kuwa kuna wakati uliangukia kwenye penzi la mjasiriamali anaitwa Hartmann Mbilinyi, ni kweli? Wema: Yale yalikuwa maneno ya… ...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA KHADIJA KOPA - 8

ILIPOISHIA..
Bado Khadija anaendelea kusimulia historia ya maisha yake. Ametoka mbali, ameishia pale alipojiunga na Bendi ya Culture Music All Club ambayo ilikuwa ikitumbuiza Zanzibar tu.
Hapo ndipo uwezo wake ulipoonekana zaidi na kuwachanganya kabisa watu.
ENDELEA...
Malkia wa mipasho bongo khadija omari kopa. Naendelea kuyakumbuka maisha yangu, kila ninapojiangalia na kuona hapa nilipofika, huwa ninamshukuru sana...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-12

ILIPOISHIA:
Iliishia pale Bahati alipokuwa na kiu ya kuolewa, alipiga goti na kumuomba Mungu kwamba endapo atampa mume, basi awe mume aliyetoka kwake (Mungu). ENDELEA... Mwimbaji wa nyimbo za injili Bongo, Bahati Bukuku. Ikumbukwe kwamba siku nimezaliwa katika familia inayomjua Mungu, nimelelewa katika wokovu kwa kipindi chote cha maisha yangu, kwa hiyo hata kwenye suala zima la kuolewa nililiacha mikononi mwa Mungu. Siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani