Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siwezi kuoa kwa kuwaridhisha watu — Izzo Bizness

Izzo

Rapper anayeiwakilisha Mbeya city, Izzo Bizness amesema kuwa hana mpango wa kuoa kwa sasa licha ya kuwa yuko kwenye mahusiano na tayari ni baba wa mtoto mmoja.

Izzo

Tumeshawasikia mastaa wengi ambao wameweka bayana sababu za kwanini hawataki kuoa au kuolewa kwa sasa, lakini kwa upande wa Izzo hii ndio sababu aliyoitoa.

“Umri unaenda lakini ndoa ni mipango, siwezi kuoa kwa kuwaridhisha watu kwa kuwa mimi ni kioo cha jamii, si kitu rahisi kama watu wanavyofikiria ingawa niko kwenye mahusiano”,...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Adam Juma ampongeza Izzo Bizness kwa kutaja gharama halisi aliyotumia kwenye video ya ‘Walala hoi’, M 1.4

Director Adam Juma wa kampuni ya Visual lab/Next Level, amempongeza rapper wa Mbeya Izzo Bizness na director wake Nick Dizzo kwa kutaja gharama halisi waliyotumia kushoot video ya ‘Walala hoi’ ambayo Izzo amesema ni shilingi milioni 1 na laki 4 tu. “Video ni milioni 1 na laki 4 na Nick hapo tumemlipa kila kitu” Izzo […]

 

9 years ago

MillardAyo

Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video)

Rapper anayewakilisha Green City a.k.a Mbeya City kathibitisha kwamba anahitaji watu wake wapate zawadi ya video nzuri kabla haijafikia December 25 2015 ambayo ndio siku ya birthday yake. Jina lake kwenye stage ya muziki anafahamika kama Izzo Bizness, wiki chache zilizopita aliachia ngoma kali ambayo imeteka kwa nguvu airtime kwenye radio stations ambapo ngoma hiyo […]

The post Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness awashirikisha Mwana FA na G-Nako

Rapper Izzo Bizness amesema anajipanga kuachia kazi yake mpya aliyowashirikisha Mwana FA pamoja na G-Nako. Izzo ameiambia Story Tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa anajisikia faraja kufanya kazi na rapper kama FA ambaye amekuwa akifanya vizuri kwenye muziki wake kwa nyakati tofauti. “Ngoma yangu mpya nimewashirikisha G-Nako pamoja na Mwana FA na […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Mambo 3 usiyoyajua kuhusu Izzo Bizness

Tazama video hii kujua mambo matatu usiyoyajua kumhusu Izzo Bizness. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani