SKYLIGHT BAND WAFANYA UZINDUZI RASMI WA NYIMBO YAO MPYA YA KARIAKOO
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band-2.jpg)
Meneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao. Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi,… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Skylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na kutambulisha Studio yao mpya
![skylight band 2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band-2.jpg)
Meneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.
![skylight band](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band.jpg)
Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza...
10 years ago
Vijimambo22 Jul
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_0527.jpg?width=640)
SKYLIGHT BAND YAPAGAWISHA MKESHA WA MWAKA MPYA
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Skylight Band wazindua wimbo wao mpya kwa kishindo, leo ndani ya Thai Village hapatoshi njoo ucheze na kufurahi na staili mpya kibaoo!!
Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mpera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania
Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii
Diva wa Skylight Band Digna Mpera akilisogeshaaaa taratibuuuuuuuu
Meneja mwenyeweee Aneth Kushaba kwa raha zakeeeee Akiiimba kwa furaha kabisa ndani ya Kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita,ambayo ilikuwa ni uzinduzi Rasmi wa Wimbo wao...
10 years ago
Dewji Blog05 Sep
Washiriki wa shindano la Miss Ilala 2014 watambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Skylight Band
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia watakuwepo kuanzia saa tatu usiku.
Kijana Hashim Donode akionyesha hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kushoto ni Meneja wa Band Aneth Kushaba akimpa sapoti.
Mashabiki wa Skylight Band...
11 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_0089.jpg)
WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS ILALA 2014 WATAMBULISHWA RASMI KWA MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND
10 years ago
Dewji Blog31 Dec
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/IMG-20140211-WA0001.jpg?width=534)
NJOO USHUHUDIE NYIMBO TAMU ZA KIMAHABA NA ZAWADI KEM KEM SIKU YA WAPENDANAO (VALENTINE'S DAY) NA LIVE MUSIC KUTOKA SKYLIGHT BAND IJUMAA HII