Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SKYLIGHT BAND YAKWEA PIPA KUTUMBUIZA OMAN, YAWAOMBA RADHI MASHABIKI WAKE DAR‏

Uongozi wa Skylight Band unawaomba radhi mashabiki wake wa Dar es Salaam kwa kutokuwepo nchini kwa ajili ya kutoa burudani jioni ya leo kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki pamoja na siku ya Jumapili kwenye Skylight Sunday Bonanza katika kiota cha maraha Escape One kutokana na kupata mwaliko wa kutumbuiza nchini Oman. Skylight Band watarejea nyumbani wiki ijayo na kuendelea na ratiba zao kama kawaida ambapo siku ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yakwea pipa kutumbuiza Oman, yawaomba radhi mashabiki wake Dar

10494817_372473116244006_3617867818539775125_n

Uongozi wa Skylight Band unawaomba radhi mashabiki wake wa Dar es Salaam kwa kutokuwepo nchini kwa ajili ya kutoa burudani jioni ya leo kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki pamoja na siku ya Jumapili kwenye Skylight Sunday Bonanza katika kiota cha maraha Escape One kutokana na kupata mwaliko wa kutumbuiza nchini Oman.

Skylight Band watarejea nyumbani wiki ijayo na kuendelea na ratiba zao kama kawaida ambapo siku ya Ijumaa  tarehe 10/10/2014  watakuwepo Thai Village pamoja na...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWATEKA MASHABIKI WAKE NDANI YA JIJI LA DAR‏

Hashim Donode mzee wa Oldies akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band sambamba na Digna Mbepera pamoja na Winnie kwenye show yao ya Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Divas: Mary Lucos na Winnie wakiwapa raha fans wa Skylight Band.…

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA NYAMA CHOMA FESTIVAL‏

Kikosi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma lilifanyika mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony Masamba. Swagga za Skylight Band hii inafahamika kama "Mashauzi" mkongwe Joniko Flower akiwasebenesha mashabiki wake ( hawapo...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE NJOO LEO UONE VITU VIPYA‏

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba mmoja ya nyimbo yenye hisia kali sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Sony Masamba akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake ambao ni Aneth Kushaba(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sam Mapenzi(Kulia) Ashura Kitenge akiimba kwa pamoja na Sam Mapenzi mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani)...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWABAMBA MASHABIKI WAKE WA MUZIKI WA LIVE, TUKUTANE BAADAE THAI VILLAGE‏

Majembe ya Skylight Band yakitoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar..Kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo, Digna Mbepera na Sam Mapenzi. Sehemu ya umati wa mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na sebene la Nasaka Dough ndani ya… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yaendelea kulamba dume kwa mashabiki wake jijini Dar ndani ya kiota cha Thai Village

DSC_0016

Majembe ya Skylight Band yakiporomosha burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mkongwe kwenye muziki wa dansi Joniko Flower a.k.a Baba lao, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo na Sam Mapenzi.

DSC_0087

Pichani juu na chini ni mashabiki nao wakijibu mapigo ya sebene lililokuwa likiporomoshwa na majembe ya Skylight Band.

DSC_0089

DSC_0020

Kutoka kushoto ni mkongwe kwenye muziki wa dansi Joniko Flower a.k.a Baba lao, Sony Masamba a.k.a Fally...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wazidi kuwapa raha zisizo na kifani mashabiki wake Jijini Dar, usikose leo ndani ya Thai Village

Sam Mapenzi akiliazisha Taratibuuuuu ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.

Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village.

Anaitwa Hashim Donode (mzee wa viduku)akiimba kwa Hisia kaliiiii kabisaaa ndani ya  kiwanja cha Thai Village Ijumaaa iliyopita ili kuwapa ile kitu  roho inapenda mashabiki  wao.

Toka kushoto Digna Mbepera akimpa sapoti ya nguvu kijana  machachariiiiii anayejulikana kwa jina la Donode...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KUTIKISA NCHINI OMAN, SKYLIGHT BAND WAREJEA NCHINI KUTOA BURUDANI YA NGUVU IJUMAA YA LEO‏

Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea nchini Tanzani. Leo Kama kawaida yetu Skylight Band tutakuwa kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea burudani ya nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii...... Divas...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band ilivyowabamba mashabiki wake ‘Valentines’s day’ ndani ya Thai Village

DSC_0346

Mwanadada mrembo akipozi kwenye eneo maalum kukaribisha mashabiki wa Skylight Band kwa shots za Zappa na Tequila pamoja na ua aina ya Rose maalum kuonyesha upendo kwa wapenzi wao katika usiku maalum wa wapendanao uliofanyika jumamosi iliyopita ndani ya kiota cha maraha cha Thai Village….Skylight Band itaendelea kusambaza upendo Ijumaa ya leo, baada kurejea nyumbani salama wakitokea nchini Oman….Muda ule ule… uchakavu ule ule… mahali ni pale pale….Karibuni.

DSC_0334

Mkali wa R & B Skylight Band,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani