Snura mbioni kuachia 'Ushaharibu'
MWANADADA anayetamba katika muziki wa mduara, Snura Mushi ‘Snura’ au ‘Mamaa Majanga’ anajipanga kusambaza kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Ushaharibu’.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Snura alisema wimbo huo ni mwendelezo wa kazi yake ya ‘Nimevurugwa’ ambayo pia inafanya vizuri katika ‘game’.
Mbali na kazi hiyo, mwanadada huyo anatamba na kazi yake ya ‘Majanga’ ambayo imemtambulisha vema katika soko la muziki.
“Huu ni kama mwendelezo wa ‘Nimevurugwa’, ukiisikiliza kwa makini...
Tanzania Daima
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania