Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spika Makinda aendelea na ziara yake nchini Oman

Spika wa Bunge Mhe Anne Semamba Makinda akipata maelezo toka kwa Katibu wa Bunge la Oman,Ali Nasser Al Mahrouqi ya namna mfumo wa kisasa wa uendeshaji Bunge ulivyo katika Bunge la Oman. Bunge hilo limeanza mfumo wa kutotoa hotuba/nyaraka kwa makaratasi na sasa wanatoa kwa njia ya mtandao (e-parliament).Wa pili kulia Mhe Sheikh Khalid Hilal All Maawali akifuatiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje Mhe Mussa Zungu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe. Waziri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Spika Makinda awasili Muscat Oman kwa ziara rasmi ya kibunge

Mhe Spika wa Bunge Anne Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A'Shura Sheikh Abdullah Al Majaali aliempokea katika uwanja wa ndege wa Muscat International Airport. Mhe Spika akiwa na wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake.Wa kwanza Julia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Mhe Freeman Mbowe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge),Mhe William Lukuvi.Wa kwanza kushoto ni Mhe Ally Saleh Balozi wa Tanzania nchini Oman. Mhe Spika yuko katika ziara rasmi ya kibunge ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aendelea na ziara nchini Oman

PG4A7853

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na baadhi ya mabalozi wanaowakilisha wa nchi mbalimbali  nchini   Oman katika dhifa aliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mhe. Sayyid Fahad Al Said (kulia) kwenye hoteli ya Al Bustan  mjini Muscut Oktoba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7855

PG4A7805

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mhe. Sayyi Fahad Al Said   (kushoto kwake) wakizungumza na balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh katika dhifa aliyoandaliwa Waziri...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif aendelea na ziara yake Nchini Qatar

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na ujumbe wa mamlaka ya uwekezaji (Qatar Holding) mjini Doha, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku nne nchini Qatar. Mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa mamlaka ya uwekezaji ya Qatar Sheikh Faisal Bin Soud Al-Thani, akizungumza na ujumbe wa Zanzibar ukiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad mjini Doha.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR AENDELEA NA ZIARA YAKE NCHINI UJERUMANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiwa katika Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg wakati walipotembelea kupata maelezo mbali mbali wakiwa katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia saini kitabu cha Golden Book katika Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg Mhe,Christian Schuehadt wakati alipotembelea akiwa na ujumbe wake akiwa...

 

11 years ago

Michuzi

Binti Mfalme wa Sweden aendelea na ziara yake nchini

Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree akisalimiana na mmoja wa Maafisa waliompokea alipotembelea Mradi wa Maji wa WaterAid unaofadhiliwa na nchi yake uliopo Kigamboni eneo la Tungi, Wilayani Temeke, Dar es Salaam. Anayeshuhudia katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mhe. Bi. Sofia Mjema. Mtukufu Victoria alitembelea Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014. Mmoja wa Vijana wa skauti akimvisha skafu Mtukufu Victoria...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Makinda aonya kuhusu udini, ukabila nchini

Spika Anne Makinda amesema endapo Watanzania wataendekeza itikadi za udini na ukabila, Taifa litagawanyika na hakuna atakayenusurika na machafuko.

 

11 years ago

Michuzi

Spika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) alipofika Ofisini kwake leo kwa ziara ya kikazi. Wengine ni baadhi ya Wabunge kutoka Bunge la Uholanzi alioambatana nao. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo Ofisni kwake na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Shamhuna alipofanya ziara ya kikazi nchini Oman

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna mara alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscat kuanza Ziara ya kikazi nchini Oman, kushoto ni Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman Mhe. Dr. Rawiyah Al Busaidi, wa kwanza kulia ni Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh, Balozi wa Tanzania nchini Oman. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna wa pili kutoka kushoto akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani