SWAHILI BLUES BAND WANG'A KATIKA TAMASHA LA DOADOA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Fb-GCihYJ2Y/VVQTIJm-MWI/AAAAAAADm2s/ADBxsMJk1GM/s72-c/SDOnh131CwDg9flPJ7Tr5rmYh_md0nHxpVru3lfRus8%2CMA654KTJev4R7bLJ_wVlcg4GtmnmeKTYF3To1rSPWVs.jpg)
Mkamuzi yalikuwa siyo ya kitoto kama unavyoona kwenye picha Watu wakisasambuka mwanzo mwisho
Leo Mkanyia Ang'aa katika Tamasha la DoaDoa
Baada ya ziara ya mafanikio katika jiji la maraha la Nairobi, kundi zima la Swahili Blues Band chini ya uongozi wa Leo Mkanyia walielekea mjini Jinja Uganda kushiriki katika Tamasha la muziki la DoaDoa.
Tamasha la DoaDoa ni maalumu kwa wanamuziki kutoka Afrika ya Mashariki kushiriki na kutambulishwa kwenye jukwaa la kimataifa. DoaDoa wanatoa fursa mahsusi kwa...
Vijimambo