TAARIFA KUHUSU BOMU LILILOONEKANA MTWARA
![](https://dub123.mail.live.com/Handlers/ImageProxy.mvc?bicild=&canary=L%2ffVp6tVChp9NfWpmGKg4iS%2framx5p0CvQeqkS8YoWQ%3d0&url=http%3a%2f%2fi0.wp.com%2fmillardayo.com%2fwp-content%2fuploads%2f2014%2f06%2fbomu.jpg%3fresize%3d457%252C303)
Hili ni bomu ambalo jioni ya Juni 16 2014 kwenye kijiji cha Mdui kata ya Mawala wilaya ya Mtwara vijijini kwenye mkoa wa Mtwara liliokotwa na watoto waliokuwa wakicheza karibu na eneo la makaburi. Taarifa ilitolewa polisi baadae ambapo baada ya wataalamu kuja na kuchunguza waligundua ni bomu la kurusha kwa mkono ambalo lina namba TNT MORTAR BOMB 60MM, LOT SOL 618 ambapo polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi walichukua...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM18 Jun
HILI NDILO BOMU LILILOONEKANA MTWARA
Hili ni bomu ambalo jioni ya June 16 2014 kwenye kijiji cha Mdui kata ya Mawala wilaya ya Mtwara vijijini kwenye mkoa wa mtwara liliokotwa na watoto waliokuwa wakicheza karibu na eneo la makaburi.
Taarifa ilitolewa Polisi baadaye ambapo baada ya wataalamu kuja na kuchunguza waligundua ni bomu la kurusha kwa mkono ambalo lina namba TNT MORTAR BOMB 60MM,LOT SOL 618 ambapo Polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi walichukua hatua za kiusalama na kwenda kulilipua porini.
Kaimu kamanda wa...
10 years ago
StarTV08 Jan
Polisi Singida yatoa taarifa ya uchunguzi wa bomu.
Na Emmanuael Michael,
Singida.
Polisi Mkoani Singida imetoa taarifa rasmi juu ya uchunguzi wa mlipuko unaosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa kienyeji, uliotokea hivi karibuni nyumbani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Halima Mpita na kusababisha madhara na hofu kubwa.
Uchunguzi huo wa mtaalamu wa milipuko kutoka Jeshi la Wananchi JWTZ Jijini Arusha umebaini kuwa, ingawa lengo lilikuwa kufanya mauaji lakini utengezaji wake haukukamilika vyema wala kufikia hatua...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZLrbuSNVVEY/VA3Ak11d-KI/AAAAAAAGh-0/zDT7_3zTL4c/s72-c/Untitled.jpg)
TAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA KUHUSU TAARIFA ZA UZUSHI ZINAZOZAGAA KUWA BABU SEYA NA MAWAE WAMEACHIWA HURU
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZLrbuSNVVEY/VA3Ak11d-KI/AAAAAAAGh-0/zDT7_3zTL4c/s1600/Untitled.jpg)
Napenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa hizo zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za Uongo na uzushi mkubwa na zinalenga kuipotosha jamii kwani wafungwa hao wapo gerezani na...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-hBmt2I0IwwM/VcWf1c2IDvI/AAAAAAABTRg/f8ibKkz59OM/s72-c/CL3WowIUcAEVYWv.jpg)
11 years ago
GPL![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/04/polic.jpg?resize=435%2C339&width=600)
JESHI LA POLISI LIMETANGAZA ZAWADI YA TSH.MILION 10 KWA WEWE MWENYE TAARIFA ZA MHUSIKA WA BOMU ARUSHA
10 years ago
Michuzi03 Jan
9 years ago
MichuziBENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU UBORA WA HUDUMA YAKE YA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA WA MTWARA
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Taarifa mseto kuhusu Ebola
9 years ago
Vijimambo29 Oct
TAARIFA KUHUSU MATOKEO YA UCHAGUZI
![](http://ccmtz.org/wp-content/uploads/2015/05/ccm_header1.jpg)
MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO
Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga...