TAARIFA NJEMA KWA MASHABIKI WA MAN UNITED KUHUSU 'DAVID DE GEA'
![](http://3.bp.blogspot.com/-DE4eJMZQrtM/VZAYbgy7aYI/AAAAAAAACSs/_rP-nMYDfMU/s72-c/Gea_3160424b.jpg)
Hii haiwezi kuhitimisha tetesi za David De Gea kujiunga na Real Madrid majira haya ya kiangazi, lakini inatia moyo kwa kiasi kikubwa hususani kwa mashabiki wa Manchester United.Leo Gazeti la Marca (tazama picha chini) limekuja na stori kwenye ukurasa wake wa Mbele ikiwa na picha ya David De Gea na Bosi wa Manchester United, Lois van Gaal yenye kichwa cha habari “Siempre Negativo” – “Always Negative”.De Gea amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake Man United na kwa miezi mingi amekuwa...
africanjam.com