Taarifa Rasmi Kwa Umma Kutoka IKULU
Rais Jakaya Kikwete--- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumatatu, Desemba 8, 2014, ameanza kazi rasmi baada ya afya yake kuimarika kufuatia upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita.
Mhe. Rais ameanza kazi rasmi kwa kumwapisha Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Daudi Felix Ntibenda katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam.
Kwa kuanzia Mhe. Rais atakuwa anafanya kazi za ofisini na kwa muda mchache. Muda na kasi ya kufanya kazi ya Mhe....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
GPL11 years ago
GPLTAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHADEMA
9 years ago
Michuzi22 Nov
9 years ago
MichuziTAARIFA KWA UMMA KUTOKA TAMISEMI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAISTAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa Kaimu Mtendaji...
9 years ago
GPL05 Nov
9 years ago
GPL9 years ago
Michuzi10 years ago
GPL