Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA CCM JUU YA KUFUNGA KAMPENI ZAKE KATIKA MIKOA MBALI MBALI




CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.Kufunga KampeniCCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo:1. Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa CCM,...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Taarifa ya CCM Juu ya Kufunga Kampeni Zake katika Mikoa Mbalimbali.

Friday, October 23, 2015 Taarifa ya CCM Juu ya Kufunga Kampeni Zake katika Mikoa Mbalimbali. CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania. Kufunga Kampeni CCM […]

The post Taarifa ya CCM Juu ya Kufunga Kampeni Zake katika Mikoa Mbalimbali. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUPITIA CHADEMA KATIKA JIMBO LA HAI, MKOANI KILIMANJARO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mpira wa Machame, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26, 2015.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LATOA UFAFANUZI JUU YA TUHUMA MBALI MBALI LINAZOTUPIWA

Hivi karibuni kumekuwa na tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii kuhusiana na kunyanyaswa, kutendewa vitendo visivyo vya kiungwana na kuteswa gerezani kwa Watuhumiwa wa Makosa ya Ugaidi kinyume na taratibu za Uendeshaji wa Magereza.
Kufuatia tuhuma hizo, Jeshi la Magereza Tanzania Bara limefanya uchunguzi kwa kufanya mazungumzo na Watuhumiwa wenyewe na wamekanusha tuhuma hizo dhidi ya Jeshi la Magereza. Ukweli ni kuwa taarifa hizo...

 

10 years ago

Michuzi

taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni na simu tv


Kwa taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni BOFYA HAPA

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

11 years ago

Michuzi

NAPE: WASOMI CHANGIENI MAONI YENU KATIKA KUBORESHA SERA MBALI MBALI


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM wa Tawi la STEMMUCO mkoani Mtwara wakati wa sherehe za kuwaaga wanachama wa CCM waliohitimu masomo yao katika Chuo cha SAUT ambapo aliwaambia wasomi washiriki katika kukisaidia chama hasa katika kuboresha sera mbali mbali.  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mtwara Ndugu Mohamed Sinani akizungumza wakati wa sherehe za kuwaaga wanachama wa CCM Tawi la STEMMUCO mkoani Mtwara ambao wamehitimu masomo katika Chuo cha SAUT...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KATIKA USIKU WA UNIVERSAL CHANNEL (MULTICHOICE AFRICA EXTRAVAGANZA) NCHINI MAURITIUS

 Wadau kutoka nchi mbali mbali barani Afrika wakiwa kwenye tafrija maalum ya Universal Channel inayoonyeshwa kwenye DStV ikiwa ni sehemu ya uonyeshaji wa kazi mbali mbali za MultiChoice Africa.Picha zote na Othman Michuzi.  MC wa Kimataifa ambaye pia ni Muongozaji wa Mashindano ya Big Brother Africa, IK Osakioduwa akiongoza shughuli hiyo iliyofanyika jana usiku kwenye Hoteli yenye hadhi ya Kimataifa ya Trou Aux Biches,nchini Mauritius. 
 IK akifanya mahojiano na waigizaji wa moja ya filamu...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDD AKABIDHI VIFAA MBALI MBALI VYA UJENZI KATIKA JIMBO LA KITOPE

Wananchi wameendelea kutahadharishwa kuwa macho na tabia ya baadhi ya wanasiasa wenye hulka ya kushawishi jamii kutoshiriki harakati za maendeleo na ustawi wa jamii kwenye maeneo yao kwa sababu tu ya itikadi ya kisiasa.
Tahadhari hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi wakati akikabidhi vifaa mbali mbali vya uwezekaji wa majengo ya Maabara na Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Fujoni iliyomo ndani ya Jimbo la Kitope Wilaya ya Kaskazini “ B”.
Balozi Seif ambae pia ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani