TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 08.02. 2014.
![](http://1.bp.blogspot.com/-55fs394AnOg/UvXaaAfsdgI/AAAAAAAFLt4/v8ozIn2S5nQ/s72-c/IMG_1100.jpg)
WANAWAKE WAWILI WAUAWA NA
WAUME ZAO KUTOKANA NA WIVU WA KIMAPENZI.
WANAWAKE WAWILI WALIUAWA NA WAUME ZAO KATIKA MATUKIO MAWILI WILAYANI CHUNYA. KATIKA TUKIO LA KWANZA LILILOTOKEA MNAMO TAREHE 06.02.2014 MAJIRA YA SAA 07:00HRS ASUBUHI HUKO KATIKA KIJIJI CHA SHOGA WILAYA YA CHUNYA MKOA WA MBEYA MWANAMKE ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA AGNES DAUD (32) MKAZI WA KIJIJI CHA SHOGA ALIKUTWA AMEUAWA NA MUME WAKE ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA THOMAS @MSUKUMA KWA KUMKATA KOROMEO KWA KUTUMIA KISU. MWILI WA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi05 Mar
11 years ago
Michuzi28 Apr
11 years ago
Michuzi03 Jun
11 years ago
Michuzi11 Jun
10 years ago
Michuzi10 Dec
11 years ago
Michuzi10 Jun
11 years ago
Michuzi10 Feb
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 10.02. 2014.
MNAMO TAREHE 09.02.2014 MAJIRA YA SAA 18:20HRS JIONI MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA HEZRON MWAISANILA (22) MKAZI WA ILOMBA JIJINI MBEYA ALIFARIKI DUNIA WAKATI ANAPATIWA MATIBABU HUKO KATIKA KITUO CHA AFYA TUNDUMA WILAYA YA MOMBA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA WANANCHI WALIOAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI WAKITUMIA SILAHA ZA JADI FIMBO NA MAWE. CHANZO CHA MAUAJI HAYO NI TUHUMA ZA WIZI BAADA YA MAREHEMU HUYO...
10 years ago
Michuzi09 Oct
11 years ago
Michuzi24 Feb
11 years ago
Michuzi01 Jul
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 01.07.2014.
AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 30.06.2014 MAJIRA YA SAA 06:00 ASUBUHI KATIKA KIJIJI CHA KIKOTA, KATA YA KIWIRA, TARAFA YA...