TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 03.02. 2014.

AJALI YA GARI KUMGONGA MTEMBEA
KWA MIGUU NA KUSABABISHA KIFO.
MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA NJEHA NYELA (70) MKAZI WA IMEZU WILAYA YA MBEYA VIJIJINI ALIFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.347 BTD AINA YA TOYOTA HAICE LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA DEO EMANUEL KALINGA (34) MKAZI WA MSWISWI. AJALI HIYO ILITOKEA KATIKA BARABARA YA MBEYA/NJOMBE MAJIRA YA SAA 10:30HRS ASUBUHI NA CHANZO CHA AJALI HIYO NI MWENDO KASI WA GARI. DEREVA AMEKAMATWA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi05 Mar
11 years ago
Michuzi28 Apr
11 years ago
Michuzi03 Jun
11 years ago
Michuzi11 Jun
10 years ago
Michuzi10 Dec
11 years ago
Michuzi10 Jun
11 years ago
Michuzi10 Feb
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 10.02. 2014.
MNAMO TAREHE 09.02.2014 MAJIRA YA SAA 18:20HRS JIONI MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA HEZRON MWAISANILA (22) MKAZI WA ILOMBA JIJINI MBEYA ALIFARIKI DUNIA WAKATI ANAPATIWA MATIBABU HUKO KATIKA KITUO CHA AFYA TUNDUMA WILAYA YA MOMBA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA WANANCHI WALIOAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI WAKITUMIA SILAHA ZA JADI FIMBO NA MAWE. CHANZO CHA MAUAJI HAYO NI TUHUMA ZA WIZI BAADA YA MAREHEMU HUYO...
11 years ago
Michuzi09 Oct
11 years ago
Michuzi24 Feb
11 years ago
Michuzi01 Jul
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 01.07.2014.
AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 30.06.2014 MAJIRA YA SAA 06:00 ASUBUHI KATIKA KIJIJI CHA KIKOTA, KATA YA KIWIRA, TARAFA YA...